Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,072
Magufuli anajua kabisa reli ya kwenda Ikulu mwaka huu inaitwa UKAWA na treni inaitwa MABADILIKO na kwa sasa dereva wa treni hiyo ni LOWASSA.
Magufuli anachokifanya ni kudandia dandia hiyo treni ili imsogeze sozege kimtindo.
Magufuli anachokifanya ni kudandia dandia hiyo treni ili imsogeze sozege kimtindo.