palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,456
Safari ya tinga tinga yaingia doa....angejua jinsi asivyostahili kuwa Rais!!
Anatapatapa
Bulldozer limezama kwenye tope
Safari ya tinga tinga yaingia doa....angejua jinsi asivyostahili kuwa Rais!!
Gufuli ndio rais ajae, kubali ukatae ila huo ndio ukweli. Ila Lowasa atazipunguza tu kura zake
Nyapara wa saiti huyo!