Magufuli, Lowassa, Rostam, Apson: Pengine ni Mikutano tu, pengine ni zaidi ya mikutano

Mzee wangu aliwahi niambia the same. Ni mstaafu kwa sasa.. lakin huwa ananiambia muda wowote wakikuhitaji lazima uende. And it true.. huwa wanawahitaj jamaa kwenye masuala fulani
Kwa elimu yangu ya form two D, what I Know ni kwamba once you are KACHERO utaendelea kutumika wakati wowote itakapobidi hata kama ulistaafu miaka 20 iliyopita...
 
Ngj nmtafte s.apsn leo anitandike bia za ktosha lzma atakuwa na neema tu!

Ova
 
Wote wpo ila mwanangu sna ni hyo mbg 7 s.a
Ngj leo nmletee uzushi wa hela za bia asintanieee kbsa

Ova
Hahah vijana wa mboga 7 hawana mawazo hao.

Jimmy nna muda kidogo sijachekiana nae,nikija mjini ntamchek.
 
Chahali nimekuelewa Timu Lowasa against team Membe zile team zingine zilizosaidia Raisi Magufuli kuingia ikulu zitajijua ambazo hazikuwa team Lowasa au Membe zijiandae.Alliance zinaanza Kila mtu ndani ya CCM anaanza kujipambanua kundi lipi anataka limuunge Mkono la Lowasa au Membe?. Huhitaji kuwa mtaalamu wa rocket science kujua hilo .Picha zinajieleza
 
Kwa elimu yangu ya form two D, what I Know ni kwamba once you are KACHERO utaendelea kutumika wakati wowote itakapobidi hata kama ulistaafu miaka 20 iliyopita...
Mie nilianzia LG Julai nikapiga nikahamishiwa A. Nilikuwa kichwa hatareee. Lkn life Gallo fea, aliyefeli form two nimekuwa mshauri wake masuala ya fedha. Mie msubiri salary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…