Braza' hata ajira huna, alafu ukaaminishwa ule uongo ' Magufuli awajaza mapesa wafanyakazi' ile payee aliyopunguza kwa kima cha chini kwa asilimia 2% mwaka 2016 effect yake kwenye mshahara haikuzidi hata sh. 10,000. Samia alipunguza asilimia 1% mwaka 2021 kwa kima cha chini na na mwaka huu akaongeza asilimia 23% kwenye mishahara yao (Ni kama amefuta Kodi yote ya kima Cha chini (8%) na kuwaongezea fedha katika mishahara yao (15%)
Labda nikufafanulie
Katika ngazi na viwango vya mishahara serikalini mwenye kima na kiwango cha chini kabisa cha mshahara ni yule mwenye kiwango cha TGOS-A na TGTS-A
JAKAYA 2015
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi(Payee 11%) Tsh. 33,000/=
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 11%) Tsh.34,100/=
MAGUFULI 2016/2021
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 9%) Tsh. 27,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,000
Ongezeko: 00
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 9%) Tsh.27,900/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,200
Ongezeko: 00
MAMA SAMIA 2021/2022
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 24,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.3,000
Ongezeko: 00
TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.24,800/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.4,900
Ongezeko: 00
MAMA SAMIA 2022/2023
TGOS-A
Mshahara 370,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 29,600
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000
TGTS-A
Mshahara 380,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.30,400/=
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000
Sasa sijui mimi na wewe nani mjinga! Labda kwa kuwa wewe ulidanganywa. Soma hapa
https://nuktaafrica.co.tz/contact-us/