Mwanzilishi wa mahakama ya mafisadi aamua kula matapishi yake mwenyewe. Hatimaye aonja shubiri ya kuzunguka kwa gari. Hizo ni V8, wanazosemaga hazisikii mashimo, kachoka hivyo, je angetumia lile bus la Msomali ingekuwaje??
Jamani, tunajisemea tuuu. Hakuna njia ya kuifikia Tanzania kwa miguu 4. Chopa si ufahari, ni ubunifu tu, nao umekuwa mzuri.
Kila maneno yake Magufuli ni kujaribu kuwafedhehesha wapinzani UKAWA, ila bahati moja mbaya kwake ni kwamba, Watanzania weshajiamulia rais wao.
CCM, amuen tuingie kwenye box kesho ili kuokoa gharama hizi.