Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Mbona mazoezi ya viungo tunafanya wengi!!! kinachonishangaza ni mahali na muda ambao mgombea anafanya hayo mazoezi. Hebu fikiria mtu yuko ofisini halafu ghafla anaanza kufanya mazoezi ya viungo, hainijii akilini kabisa. Hapo kwenye kampeni ni sawa na kuwa kazini maana anasaka kazi ya uraisi. Ni sawa kwa Dr. kufanya mazoezi ila aangalie ni muda gani muafaka, na hata mavazi aliyovaa siyo ya mazoezi!!! Nadhani wanamshauri vibaya. Afya ya mtu haiaminishwi kwa mtu kwa kufanya mazoezi. After all unataka kuprove kwa sababu gani??? Kama una afya unayo tu na watu wanaona sio lazima uwaaminishe. Tutamchagua kwa sera nzuri na historia nzuri ya huko nyuma yakwake binafsi na chama chake. Asijichoshe bure kufanya sarakasi wakati anatakiwa kumwaga sera na kuonyesha nini kimefanywa na chama chake. Ningekuwa mshauri wake ningemshauri asijiingize kwenye ushabiki wa kijinga wa kumattack mtu personally. Inaashiria aidha woga umeanza kumwingia na ana wasiwasi mkubwa. Na kivita hii ni dalili mbaya sana. Ukiwa mwoga tu, utashindwa vita. Awe bold tu amwage sera na ajiamini.
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.
 
Magufuli kwa afya njema na utawala bora.

Amina, basi hivyo unataka kusema Mungu wa Magufuli ndo Mungu wa maana na Mungu wa wenye maradhi siyo Mungu? Na Mungu aliyempumzisha Hon Celina na Hon Komba ni Mungu wa namna gani?
 
Magufuli yupo sahihi kuonyesha uimara wa afya yake.
Hivi uimara wa afya unaonyeshwa kwa kupiga push up, au kwa kupima vipimo vyote vya afya ya mwili !! Mbona tunaambiwa huwezi kumtambua mgonjwa wa.......kwa kumtazama kwa macho ???
 
Mbona mazoezi ya viungo tunafanya wengi!!! kinachonishangaza ni mahali na muda ambao mgombea anafanya hayo mazoezi. Hebu fikiria mtu yuko ofisini halafu ghafla anaanza kufanya mazoezi ya viungo, hainijii akilini kabisa. Hapo kwenye kampeni ni sawa na kuwa kazini maana anasaka kazi ya uraisi. Ni sawa kwa Dr. kufanya mazoezi ila aangalie ni muda gani muafaka, na hata mavazi aliyovaa siyo ya mazoezi!!! Nadhani wanamshauri vibaya. Afya ya mtu haiaminishwi kwa mtu kwa kufanya mazoezi. After all unataka kuprove kwa sababu gani??? Kama una afya unayo tu na watu wanaona sio lazima uwaaminishe. Tutamchagua kwa sera nzuri na historia nzuri ya huko nyuma yakwake binafsi na chama chake. Asijichoshe bure kufanya sarakasi wakati anatakiwa kumwaga sera na kuonyesha nini kimefanywa na chama chake. Ningekuwa mshauri wake ningemshauri asijiingize kwenye ushabiki wa kijinga wa kumattack mtu personally. Inaashiria aidha woga umeanza kumwingia na ana wasiwasi mkubwa. Na kivita hii ni dalili mbaya sana. Ukiwa mwoga tu, utashindwa vita. Awe bold tu amwage sera na ajiamini.
Ni sawa na kutunga swali lako na kutolea majibu katika mtihani au interview ya kuomba kazi; yaani kutoa majibu ya swali ambalo hukuulizwa !!
 
hivi mtoa mada unaijua kesho yako au ya Magufuli?

Acheni kuongelea swala la afya litawa cost mchana kweupe. ...

Mwakyembe hakuwahi kutegemea angeumwa vile
Mwandosya pia .......na wengine wengi ambao hawajiwezi mahospitalini .

Magonjwa yakiamuliwa yanakuja muda wowote. .Hakuna wa kuyazuia.

Kinywa kinaumba. .....

Ulimi kiungo kidogo , ila matatizo yake makubwa sana.
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.


The motive behind hizo push ups, is to show us how fit he is, physically and mentally kuliko huyo anayesimama jukwaani kama vile anaomba msaada wa kuchangiwa ili aende india kwa matibabu
 
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.

Ni kweli huyu anafaa kabisa kuwa bodyguard wa Lowassa!
 
nini tena jaman
 

Attachments

  • 1443433744169.jpg
    1443433744169.jpg
    63.3 KB · Views: 116
Upepo unamuendea vibaya sana mgombea wa CCM, Dr. Magufuli.
Mwanzo angalau watu walivumilia na kumsikiliza, sijui alijiamini kupita kiasi akaona nyomi yote ni ya wafuasi wa CCM?

Sijui hasa amekosea nini kwenye kampeni zake?
Labda ni kupiga pushap? sijui
Labda ni kashfa za wazi juu ya afya na utu wa mzee wetu Lowasa? sijui
Labda ni gundu tu na nyota imekataa kuwaka? sijui
Labda ni ubovu na wizi wa CCM? sijui

Au Labda ni wakati wa Lowasa tu!!
Nisaidieni jamani, kosa la Magufuli ni lipi?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mpaka sasa tafiti mbili zinambeba Mgufuli. Utasemaje kuwa hakubaliki?
 
Mpaka sasa tafiti mbili zinambeba Mgufuli. Utasemaje kuwa hakubaliki?

Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal

zoezi la kupiga kura bado linaendelea, karibu upige!
 
Anakera pale anapovunja SHERIA kabla hata hajaingia ikulu, pili waliomzunguka kumsemea eti ni msafi wakati ana makandokando kibao, Tatu, nikupenda kumtumia mungu kila Mara wakati ni muovu mkubwa, nne, ukabila, wakati yuko kanda ya ziwa aliwambia wananchi wamchague jirani yao ndiye atakayewasaidia sasa huko iringa na mtwara sijui anawambiaje
 
Washauri wa Magufuli wabovu.Unamshaurije mgombea Urais wa JMT apige push up kwenye jukwaa LA kampeni.Wangetafuta siku moja asubuuhi akafanya jogging huko huko ndipo angepiga push up akiwa amevaa sports gears.Ujumbe ungefika vzr sana.Huo ni mtazamo wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom