Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Kazi ya FU movement ni kulalamika tu.Sisi chadema asili tunachambua pumba na kuzitupa mbali.

Ulalamishi huo ndo umenifanya nirejee nyumban ccm

Tumchague magufuli aondoe malalamiko yote hayo
 
ADUI WA MAENDELEO NI WEWE MWENYEWE:

Watanzania katika hali ya kimantiki hatuwezi kupiga hatua kama hatujui adui yetu ni nani. Adui wa watanzania sio CCM, adui ni ujinga wetu wa kutotaka kujua ukweli, mnajua wanamtandao ambao wapo nchini na wapo kwa maslahi ya kushika dola na kuendelea kujineemesha kwa kutumia rasilimali zetu.

Wameivuruga CCM, hawakuiacha salama na kwa sasa kwa sababu wamegeukia upande wa pili wanaonekana kuwa na thamani, wakati huo CCM ikipata kupumua. Lazima tujue hawa waliohamia huku upinzani ni nani na wana madhara gani kwa Taifa.

Watu hawa hawana uchungu na raia wa nchi hii ila wameishia kupiga madili, haijalishi leo unafurahia kupata taarifa za ndani ya CCM kutokana na mitandao yao, japo hazina msaada wowote wa kubadilisha maisha yako bali utazidi kutaabika na maisha wakati huo wenzako wanagawana posho.

Napenda kushauri kuwa tunapoenda kuchagua rais,wabunge na madiwani tuangalie mambo muhimu ambayo baba wa Taifa amekuwa akisisitiza. Tuchague kiongozi ambaye si Tajiri au ambaye Utajili wake kaupata kwa vinasaba vya ufisadi, rushwa, madhara ya rushwa sote tunayajua na yamefungwa hata upande wa pili siyo agenda yake tena. Pia tusimchague kutokana na kabila au dini yake.

Waliohama CCM wako wangapi ukilinganisha na waliobaki CCM. Ni bora tuwaondoe CCM ambako bado wapo wengi. Huyu mmoja wawili waliotoka CCM ni rahisi kuwafanya kuwa malaika wazuri
 
Waliohama CCM wako wangapi ukilinganisha na waliobaki CCM. Ni bora tuwaondoe CCM ambako bado wapo wengi. Huyu mmoja wawili waliotoka CCM ni rahisi kuwafanya kuwa malaika wazuri

".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"
udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"
ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 
Na kujiapa kwa Riz kuwa safari hii mgombea hawezi kutoka kaskazini ulikuwa sio ukanda au ukabila?
 
Ndiyo maana nikakuonya unatupa jiwe sokoni hujui nani litamkuta, wakupimwa si mmoja pekeyake ni pamoja huyu unategemea nini
Kifaurongo, nadhani hujaelewa vizuri. Ni kuwa Magufuli anataka kuwaonyesha wananchi kwako yeye afya yake ni nzuri kuliko wagombea wengine. Kwa kuwa anajitapa kuwa na afya njema, kipimo ni maabara. Ndiyo maana nikasema atoe damu yake ikapimwe na independent expert na atoe endorsement ili majibu ya vipimo vya damu yake yatangazwe kwa wananchi wote. Kwa njia hii wananchi wataamini kweli anaafay njema na labda wataweza kufirkira kumchagua kwa kigezo cha kuwa na damu salama. Puch up siyo kipimo cha maabara. Umenipata?
 
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.
 
Kazomewa mbeya na mazoezi yake.Tanzania tukisema tuchague mabondia matumla angeshakuwa Rais.

swissme
 
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.

Yes, Magufuli kaonyesha atakuwa kiongozi bora na mwenye kupenda michezo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom