Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Umenena mkuu! Kwa staili hii bado tunayo safari ndefu kufikia maendeleo ya kweli.

Shikamoo mkuu. Mimi kwa muda mrefu sasa nimejiaminisha na nishaamimi kwamba TZ sio tu tutachelewa kufika katika kijiji cha MAENDELEO bali hatutafika kabisa kamwe. Ndio unashangaa nini? Hakuna cha UKAWA wala CCM wote ni walewale
 
ni kweli watanzania tumelogwa tena tunatia mpaka aibu. Tumeweza kumsafisha mtu mwenye kashfa za ufisadi na leo hii tunasema ndiye anayeweza kufanya mabadiliko ya nchi hii. Mtu mwenyew amefanya kaz serkalin kwa zaidi ya miaka 30 lakn hakuna hata mwaka mmoja alioweza kufanya vzr kwenye wizara yake leo hii tunasem ndio mleta mabadiliko. Hata shetan anatucheka

Hata huyo mwingine naye kakaa miaka 20 hakuna kitu zaidi ya hasara na kuhonga Nyumba zetu.
 
Hizo ndo fikra zilizojengwa katika vichwa vya watanzania kwa miaka 54 ili CCM iendelee kutawala milele.
 
Wakati nchi inakwenda kufanya maamuzi ya msingi na ambayo yatajenga upya mustakabali wa nje yetu kwa miaka mitano ijayo, wengi wetu tumejikita kujadili hoja nyepesi sana na ambazo si kipaaumbele cha nchi kwa sasa!
Kweli Tanzania inahitaji 'push-ups' kututoa hapa tulipo?
Kweli Tanzania inahitaji 'mafuriko ya watu kwenye mikutano ya siasa' kututoa hapa tulipo?
Kweli Tanzania inahitaji 'siasa za maji' taka kututoa hapa tulipo?
Aliyetuloga kweli ametuweza, tumekuwa wajinga kiasi hiki kweli watanzania...?
SHAME ON US TANZANIANS... !

Kiutu uzima unatakiwa useme nini kifanyike. Sasa ulivyoandika huna tofauti na watz waliologwa mkuu. Hebu sema tufanye nini tuondokane na huu mkwamo. Kulialia haisaidii ndugu yangu.
 
Akili yako Ndogo sana.
Hivi hawa ccm si ndiyo chanzo cha yote haya!
Sasa kuna umuhimu gani kuwashabikia?
Hivi mnataka kutuaminisha watuhumiwa ccm wameisha?
Chenge Je?
Benjamin wa kiwira coal mine, kinana wa tembo, mhongo ngeleja tibaijuka n.k wa escrow, epa guys, mzee wa iptl na wengine wengi!
 
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
 
Benjamin wa kiwira coal mine, kinana wa tembo, mhongo ngeleja tibaijuka n.k wa escrow, epa guys, mzee wa iptl na wengine wengi!

Ni sawa na Nyumba iliyo na nyufa kwenye msingi alafu watu watuaminisha eti tukipaka rangi nyufa zitaisha, hivi kweli nyufa za ccm zitaisha kwa kupaka rangi?
 
Wakati nchi inakwenda kufanya maamuzi ya msingi na ambayo yatajenga upya mustakabali wa nje yetu kwa miaka mitano ijayo, wengi wetu tumejikita kujadili hoja nyepesi sana na ambazo si kipaaumbele cha nchi kwa sasa!
Kweli Tanzania inahitaji 'push-ups' kututoa hapa tulipo?
Kweli Tanzania inahitaji 'mafuriko ya watu kwenye mikutano ya siasa' kututoa hapa tulipo?
Kweli Tanzania inahitaji 'siasa za maji' taka kututoa hapa tulipo?
Aliyetuloga kweli ametuweza, tumekuwa wajinga kiasi hiki kweli watanzania...?
SHAME ON US TANZANIANS... !

Mleta mada umeleta jambo LA MSI GI mi nadhani watanzania tumepumbazwa Na utawala uliopo kiasi kwamba tunafikira mgando,pengine Tanzania ni taifa pekee katika nchi za Afrika Mashariki ambalo wananchi wake "can't think independently". Nusu tu ya muda tunaoutumia kufuatilia mpira wa ulaya na kwingineko tungeutumia kufikiria na kujadili mustakabali wa taifa hili, Tanzania ingepiga hatua kubwa. Tanzania kutokana na historia yake sio nchi leo hii ya kwenda kujifunza Rwanda namna ya kusimamia raslimali na taasisi ili viweze kuleta mabadiliko katika nchi. Ni wale tu ambao hajatembea na kuona nchi nyingine za Afrika zinavyopiga hatua kimaendeleo, wanaodhani mabadiliko kwa Tanzania hayawezi kutokea, yawezekana viongozi wetu ama hawana maono au wamekosa uzalendo kwa taifa lao. Ndio maana ni vigumu kwa sasa kujua Tanzania kama inampango wowote wa kimapinduzi kimaendeleo unaolenga kuipeleka nchi mbele miaka 15 au 30 ijayo kama nchi nyingine zinavyofanya.
 
Kwakweli ndugu yangu, mie namwomba tu MUNGU wangu atutoe ktk hili dimbwi la upumbavu maana ukimsikiliza Prof ni kama darasa la saba vile...!
Watu tunaotegemea watuongoze, ni walimu vipofu..., na maandiko yanatuambia kwamba " wote tutatumbukia shimoni...
 
Ni anatuhakikishia kuwa afya yake iko vzr, na ni jambo la kawaida kwa viongozi mbalimbali duniani, anapokuwa rais aweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo. sasa huyo mwingine akijaribu si yatakuwa majanga? kasimama tuuu tayar uharooo....mmmh
 
Urais sio Kaz rahisi rahisi kama watu wengi mnavyofikiria,, bila kuwa na afya njema hutoweza kutekeleza majukum yako ipasavyo... Tuache utani linapokuja suala nyeti kama hili... Nashukuru asilimia kubwa ya wananchi wamelielewa hili kwa kuamua kuwa na Imani na Dr John Joseph Pombe Magufuri.

ulipotelea wap mkuu,mzee wa Chadema inaongozwa kwa mising ya ulaghai?
 
Bila shaka mchawi wetu Alisha kufa. Vyama vinatumia wanachama wanaojua au walio mahodari kwa matusi bila kujali weledi wao ili kupendeza masikio ya wanaowasikiliza. Bila kujali tija ya matusi yao kwa maisha ya wananchi baada ya uchaguzi.

ADUI WA MAENDELEO NI WEWE MWENYEWE:

Watanzania katika hali ya kimantiki hatuwezi kupiga hatua kama hatujui adui yetu ni nani. Adui wa watanzania sio CCM, adui ni ujinga wetu wa kutotaka kujua ukweli, mnajua wanamtandao ambao wapo nchini na wapo kwa maslahi ya kushika dola na kuendelea kujineemesha kwa kutumia rasilimali zetu.

Wameivuruga CCM, hawakuiacha salama na kwa sasa kwa sababu wamegeukia upande wa pili wanaonekana kuwa na thamani, wakati huo CCM ikipata kupumua. Lazima tujue hawa waliohamia huku upinzani ni nani na wana madhara gani kwa Taifa.

Watu hawa hawana uchungu na raia wa nchi hii ila wameishia kupiga madili, haijalishi leo unafurahia kupata taarifa za ndani ya CCM kutokana na mitandao yao, japo hazina msaada wowote wa kubadilisha maisha yako bali utazidi kutaabika na maisha wakati huo wenzako wanagawana posho.

Napenda kushauri kuwa tunapoenda kuchagua rais,wabunge na madiwani tuangalie mambo muhimu ambayo baba wa Taifa amekuwa akisisitiza. Tuchague kiongozi ambaye si Tajiri au ambaye Utajili wake kaupata kwa vinasaba vya ufisadi, rushwa, madhara ya rushwa sote tunayajua na yamefungwa hata upande wa pili siyo agenda yake tena. Pia tusimchague kutokana na kabila au dini yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom