Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Kabaguliwa na nani? tunachopinga ni kumpa ikulu mgonjwa, Rais atakaye kuwa anajinyea ikulu hapana, NA IKULU SI WODI YA WAGONJWA, MGONJWA HATUMPI URAIS,

TUNAHITAJI RAIS ATAKAYELITIBU TAIFA NA SI ATAKAYETIBIWA NA TAIFA

kumbagua mtu kwa afya yake, hii sio sawa kabisa na haipendez. inamaana sisi wenye ulemavu fulan na tunataman kuwa viongoz wakubwa hatufai? iv ikitokea magufuli amepata ajali kabla ya oct. 25 na akavunjika mkono mmoja, atafaa tena kuwania urais kwa kuwa hataweza tena kupiga push up? inasikitisha kuwa na wagombea wasiofikiria sana kama hawa.!
 
kwani hayo ni matusi? kama ni matusi basi kajitusi mwenyewe huyo mzee wenu, MTU MZIMA KUJINYEA KWA KWELI NI KUJITUKANA MWENEYEWE NA KUWATUKANA NINYI MISUKULE NA MAZWAZWA YA UKAWA

Amelowasika
Hahaaaa
 
Hivi ukitokea ubishi kuhusu kutahiriwa au kutokutahiriwa atafanya nini?akitoa "bunduki" na kuwaonesha wananchi ataeleweka ?tuache mzaha.pushups hazina tija hapa.uliza hata wake zetu wanajua sisi ni mahiri katika zoezi ls pushups.

Kujinyea (kulowasika) ndio tija?
 
kwani we umepima? ivi unajua kuna watu sio wagonjwa lakini wagonjwa

Kwan yy anagombea?
Tunazungumzia wagombea

Na kama akipima akakutwa ana magonjwa makubwa hatogombea nafas kubwa kama urais
maana atakuwa mgonjwa
 
mtu mzima anajinyeaje mbele za watu bwana? huyo anapoteza fahamu anautindio wa ubongo so tuwe makini
 
Atakuja ajinyee akihutubia mikutano mikubwa afu atatutia aibu kama taifa
 
watanzania wana shida nyingi zilizosababishwa na CCM, hizo push-up zinawasaidijaje hawa? kama chama kimesindwa kutatua matatizo yanayofanana na haya kwa muda wa miaka 50, je itatua kwa miaka 5?


tanzania+maternal+mortality


images


MULEBA3.jpg
 
Lazima ujiulize lengo lilikua ni nini? Mbona lowasa juzi alikua anakimbia na hamkusema ikulu hatuendi kukimbia riadha? Siasa zinamambo mengi mno so kichwa chako kisikariri mambo!

Perception, watu wana perceive vipi? Wewe kwa kuwa kichwa maji inategemea na perception yako
 
Kupiga push up na kujinyea ni ipi nzuri!!!!???

Ndo huu ushabiki wa kipumbavu na kilofa tunaoukataa. Tunataka sera, push up na kujinyea kunatusaidia nini kama taifa.
 
Kama kupiga push up sio kigezo kizuri cha kuchaguliwa, bora kile cha udini Pale Tabora Lutheran church kuwaomba Rais awe Mlutheri?

Ikiwa wapiga kura ndo ninyi wenye mlengo kama huu ni bora watawala waendelee kuwaita wapumbavu na malofa.

Nasisitiza tunataka kusikia sera za usimamizi wa rasilimali za nchi ili tuweze kujiletea maendeleo, sio vitu vyepesi na vya kipumbavu kama ushabiki wa udini na push up.
 
Huyo jamaa ni kilaza kupindukia kazi yake ni copy and paste tu bila kuangalia mazingira na magamba mnashangilia ujinga.
Obama anaonekana akipiga pushups kwenye basketball court na tukumbuke kuwa Obama ni basketballer toka akiwa high school na collage,Putin anafahamika kuwa ni martial artist kabla hata hajawa kiongozi na hiyo picha inaonyesha kabisa imepigwa gym.
 
Huyo jamaa ni kilaza kupindukia kazi yake ni copy and paste tu bila kuangalia mazingira na magamba mnashangilia ujinga.
Obama anaonekana akipiga pushups kwenye basketball court na tukumbuke kuwa Obama ni basketballer toka akiwa high school na collage,Putin anafahamika kuwa ni martial artist kabla hata hajawa kiongozi na hiyo picha inaonyesha kabisa imepigwa gym.

Vijana wa mjin bhana
eti kujinyea sikuhizi kunaitwa kulowasika
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.

Yeye mzima Lowasa mgonjwa. Ngoja siku watu wamvutie bangi wabandike vyeti vyake vya hospitali hapa, ndipo tutawaona mashabik wakitoa mapov kuwa ni mambo binafsi na siri, au watavikanusha kuwa sio vya kweli
 
hahhhaah maana pia mavi ya mtu mzima kwa kweli ni shiida yananuka mno, hasa mtu mzima huyo akiwa mmasai, akiwa mgonjwa, akiwa mlevi wa kupindukia, hahahah kwa kuwa wamasai wanakula sana nyama ivyo mavi yao ni shiiiida ndio maana harufu imesikika hadi nchi jirani ya kenya ikapelekea kuhoji "ati TZ ako candidate kakunya kwa stage...?" hahhaah


Amelowasika
Hahaaaa
 
hahhhaah maana pia mavi ya mtu mzima kwa kweli ni shiida yananuka mno, hasa mtu mzima huyo akiwa mmasai, akiwa mgonjwa, akiwa mlevi wa kupindukia, hahahah kwa kuwa wamasai wanakula sana nyama ivyo mavi yao ni shiiiida ndio maana harufu imesikika hadi nchi jirani ya kenya ikapelekea kuhoji "ati TZ ako candidate kakunya kwa stage...?" hahhaah



Hahhaahaaa



".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"

Huo ni udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"

Hahah
huo n ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 
Wakati nchi inakwenda kufanya maamuzi ya msingi na ambayo yatajenga upya mustakabali wa nje yetu kwa miaka mitano ijayo, wengi wetu tumejikita kujadili hoja nyepesi sana na ambazo si kipaaumbele cha nchi kwa sasa!

Kweli Tanzania inahitaji 'push-ups' kututoa hapa tulipo? Kweli Tanzania inahitaji 'mafuriko ya watu kwenye mikutano ya siasa' kututoa hapa tulipo? Kweli Tanzania inahitaji 'siasa za maji' taka kututoa hapa tulipo?

Aliyetuloga kweli ametuweza, tumekuwa wajinga kiasi hiki kweli watanzania...? Shame on us Tanznaians!
 
Umenena mkuu! Kwa staili hii bado tunayo safari ndefu kufikia maendeleo ya kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom