navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 483
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.
Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.
Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.
Afya n kitu cha mhimu sana
Ndo maaana ukiwa mgonjwa hata jeshin unakuwa unfit
Huez kuendelea na mafunzo
Pia hata klabu kubwa dunian huwez kusajiriwa kama huna afya njema
huwez hata kukontrol kinyes kitoke wakat gan na wakat gan kistoke
Sembuse kuwa amiri jeshi mkuu