Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

Samahani wakuu,

Kuna clip moja Magufuli anasema kuna jamaa wamemkamata akitaka kubadilisha pesa mabilioni uwanja wa ndege akimbie. Ni nani yule alikuwa?
Mhh! Kuna ukweli hapa? ngoja nisubiri nisije kuharibu.
 
tumechoka na maigizo, maisha yamepanda maradufu, kila kitu kimepanda hatuelewi muelekeo wa taifa letu, mbaya zaid Maguful katusahau wananch, kila siku ni drama
Maisha lazima yakugonge vilivyo kwani ulizoea kuishi kwa magumashi....nenda kilombero kalime miwa tupate sukari ya kutosha au mfuate babu yako kule monduli mwambie kuwa ulimzungushia mikono sasa akupe hata mbuzi wawili msaidiane kufuga.
 
Kama hii habari NI ya kweli bhasi ni kithibitisho tosha kuwa uongozi mpya ni uongozi wa media..

NA kama jamaa ni kweli kakamatwa bhasi atakuwa kiumbe mwenye IQ ndogo kuliko wote ulimwenguni

Naona chengachenga au ni billion 1.7 ya zimbabwe
 
Back
Top Bottom