Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

igom8

Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
50
Reaction score
9
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati
 
ameanza kuamuru kabla ya kupata urais, baadaye atamwita hata mkuu wa majeshi kumpa maelekezo.
 
Hata Mimi Jana nilishangaa like kitendo cha kumwita RPC jukwaani na kutoa Maagizo Yale.

Ebu wanajua zaidi tuambiebi uhalali Wa jambo Hili.

Je wagombea wote wanaweza kutoa amri kwa Mapolisi wetu na Vyombo vya usalama Kushughulikia tuhuma.

Mwanasiasa waacheni wanausalama Vinginevyo Itatojea sintofaham Maana upande Wa pili wanaona.
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

Inaingiaa vizuri kwa JPM...

Si mmeona naanza kutokea juu ya gari, mazoezi jukwaani, imeingia...
 
Naomba uisahihishe bandiko lako. Linamakosa mengi yanayotufanya tupate ukakasi.
 
Huo ni upumba vu ,,,halafu na RPC anakubali? Nae ni ----- tu
 
Haya Jamani Lowassa Kule Mwanza Alisemaje Mkamsifia?Alimtuma Nini Wenje Mkamwita Huyu Ndo Rais,huyu Anafaa?
 
Mie mwenyewe nilishangaa huyu Rpc wetu sio mjinga kihivyo ana misimamo mno..huyo ndo mtu mnaetaka kumpa urais..

Kwa mtazamo huu ccm inatakiwa kufikiria mara mbili kuhusu huyu mgombea wao atakuja kuliingiza taifa kwenye mgogoro.. anafanya siasa hata kwenye mambo hatarishi..
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

Wewe mleta mada, hebu fanya editing ueleweke.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kama mtu anaamua kutokea juu kwenye roof badala ya kutokea mlangoni nijambo la kujiuliza pia. Sasa anamuamulu RPC utafikiri yeye ndie bosi wake?
 
Hata raia wa kawaida unapoona kuna mtu anatishiwa maisha una haki ya kuliamuru jeshi la polisi kuwakamata wanaotaka kutoa uhai wa mtu mwingine, hiyo ndio maana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii wala sio tatizo. UKAWA mmeishiwa hoja tu.
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati
Magufuli sheria mkononi
 
yule ndo rais,sijui kwanini watu wanakuwa wazito kuelewa..

anyway hiyo style si ndo ya lowasa kipindi akiwa waziri mkuu,sasa kwa magufuli mnashangaa nini
 
Hata raia wa kawaida unapoona kuna mtu anatishiwa maisha una haki ya kuliamuru jeshi la polisi kuwakamata wanaotaka kutoa uhai wa mtu mwingine, hiyo ndio maana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii wala sio tatizo. UKAWA mmeishiwa hoja tu.

Yeye waziri anayehusika na usalama wa raia?Magufuli ni dictator
 
yule ndo rais,sijui kwanini watu wanakuwa wazito kuelewa..

anyway hiyo style si ndo ya lowasa kipindi akiwa waziri mkuu,sasa kwa magufuli mnashangaa nini[/
Kaingilia jukumu la wizara nyingine,Magufuli hufai kuwa rais
 
Back
Top Bottom