Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

Kwani nyie msiyoelewa rais ajaye ni Magufuri mmetokea nchi gani?
 
Magufuli ni mtu wa kukurupuka hafai kuwa Raisi hana hadhi hata chembe
 
Magufuli ni mtu wa kukurupuka hafai kuwa Raisi hana hadhi hata chembe

Ni kweli kbs. Huyu jamaa akiwa rais nchi itaingia kwenye hasara kubwa sana kutokana na maamuzi ya kukurupuka
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

Kwa ccm kila cinema inawezekana
 
Tuliona KIKWETE anachekacheka kila mara Tuakatamani tupate rais aliye serious, Huyu ndo anatufaa kwa sasa.
Magufuli Rais
 
Hata Mimi Jana nilishangaa like kitendo cha kumwita RPC jukwaani na kutoa Maagizo Yale.

Ebu wanajua zaidi tuambiebi uhalali Wa jambo Hili.

Je wagombea wote wanaweza kutoa amri kwa Mapolisi wetu na Vyombo vya usalama Kushughulikia tuhuma.

Mwanasiasa waacheni wanausalama Vinginevyo Itatojea sintofaham Maana upande Wa pili wanaona.

Ni kwani ilikuwa na ulazima gani RPC kuwepo kwenye kampeni za CCM? Je wanafanya hivyo hivyo kwa wagombea wa upinzani?au huku ni kujipendekeza kwa huyo RPC?
 
Unajiona nawe umeelimika sanaaa na kielimu chako cha madrasa na al-haramain. P.ig wewe

Elimu zote uzijuazo zimetokea huko huko madrasah.

Au kwa kuwa umebadili na kuita madarasa unajifanya mjanja?
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

nyie jiandaaeni kurundi nchini kwenu.... huyo ndiyo raisi mtarajiwa mambo ya papo kwa papo....# HAPAKAZITU# wachaga mbona nyongo zitamwagika mwaka huu........'' ukawa imebaki na washabiki wenye asili ya uchagga tu'' wengine wameshashtuka!!
 
Back
Top Bottom