Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana rpc njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha rpc??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

balaza la mawaziri lili vunjwa lini?
 
balaza la mawaziri lili vunjwa lini?

Baraza la Mawaziri halivunjwi..bali linavunjika lenyewe siku ya Change of Guard pale uwanja wa taifa.....huo ndio ubovu wa katiba tuliyonayo na iliyioendekezwa.Endapo Ccm wataondoka watakuwa msatari wa mbele kutaka rasimu ya Warioba haraka sana....hata hivyo Kinana alikwisha ongelea kuhusu maridhiano kwenye katiba.
 
Ya mwalimu JK yatatimia kwamba mtu anashauriwa na mkewe anatoa maauzi kwa taifa
 
Mimi nawaambia kwa maamuzi ya kukurupuka kwa magufuli vita kesho t u akiingia madarakani nchi za jirani tukiwa na mgogoro kidogo tu kashaamuru majeshi kupigana bila kufikiria economic impact yake baadae huyu mtu hana mawazo ya mbali anakalia sifa tu na pushup. Viva kikwete viva lowasa diplomatic leaders


Hivi vichwa tunafugia nywele pekee

Shuleni tunajifunza ujinga si werevu.

Mlizoea kumshika Rais Kikwete hadi machoni na majina ya kila aina.

Tanzania ilipo sasa inahitaji sana TingaTinga anyooshe mapito yaliyopinda.

Bado week tatu nyeusi itajwe kuwa nyeusi na si kahawia.

Chagua Magufuli kwa maendeleo
 
Magufuli + Rpc= ?! Ukichagua Magufuli Umejichimbia Kaburi! Anapelekesha Watu Ki Dictator! Mwananchi Wakati Wa Mabadiliko Ni sasa! Chagua Lowassa Mgombea Mwenye Hekma Hajawahi Kumkashifu Yeyote Yule Jukwaani! Ccm Wanatapatapa! Tia Maji! Tia Maji! Oct25.
 
Ccm ni chama cha mafisadi wao wanadhani wananchi wameshasahau wamekalia tu kumsema lowasa kuwa ni fisadi wananchi hatujasahau escrow, rada, meremeta, mswada wa gas, mabehewa mabovu hukumu yao tar 25 oct
 
Sikiliza we Nyumbu, nimesema hivi, sio swala la uwaziri au cheo fulani tu, bali hata wewe hapo kama una uhakika na taarifa za mtu kutaka kuuawa una mamlaka ya kulipa kazi jeshi la polisi kuokoa uhai wa mtu anayetaka kudhuriwa na wahalifu. Hiyo ndio dhana nzima Ya Police jamii na ulinzi shirikishi, hebu mjitambue nyie wafuasi wa mafisadi.

Wewe nyumbu wa kijani uwe unaelewa upesi alah.
Raia anaweza kusema "mimi si ndiyo nitakua rais bwana! wewe tpc njoo ja hapa, nakuagiza jakikisha....blah blah blah haraka!" Mlinzi shirikishi anakua kwenye nafasi ya kuongea hayo?
 
Ni sawa. hivi mpaka sasa hujui km magufuli ndo rais? anasuburi kuapishwa tuuu
 
Hata raia wa kawaida unapoona kuna mtu anatishiwa maisha una haki ya kuliamuru jeshi la polisi kuwakamata wanaotaka kutoa uhai wa mtu mwingine, hiyo ndio maana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii wala sio tatizo. UKAWA mmeishiwa hoja tu.

Usiongee pumba kwani yeye aliyetumiwa msg za vitisho hajui sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yake?. Usishakikie mvunjifu wa sheria na kufanya mkutano ya kuwa polise au mahakama.
 
Magufuli ni Rais hata RPC analitambua hilo. Toroka ukuje!
 
Akiwa jukwaani anahubiri nitaheshimu mamlaka zote nikiwa raisi wakati ukiwa mgombea umeshindwa kuheshimu. Hufai kuwa raisi wa nchi...
 
Lowasa kuke mwanza alimtuma wenje akafutile wala hakumuamuru mtu
 
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati

Magufuli ni DIKTETA mtarajiwa. Hii ni ishara ya wazi ya hilo.Hata kabla hajamaliza Kampeni tayari anatoa maagizo na amri mbalimbali.Kataa uongozi wa Imla. Chagua Lowassa,chagua MABADILIKO!!!
 
Tinga tinga ndo tunamuitaji ili wale wavivu, mafisadi, na wanaojiona wenyewe miungu watu ndo dawa yao, bdo wiki tatu tu tinga tinga lichukue kijiti mtanyooka tu
 
Ahida kubwa ni yy kutumia madaraka bila kujali nyakati gani
Anapata muhemko akiwa jukwaan mpaka anaanza kutenda tofouti je akiwa rais itakuaje
 
Magufuli ataiba na atakayemuuliza ataishia jela.
 
Magufuli ni Rais hata RPC analitambua hilo. Toroka ukuje!



Ndio Maana Likawekwa Jembe Moja Linaitwa {ICC}!, Kule Shambani {THE HAGUE} Halijaanza Kulima! Linasubiri Mtangaze Tu! Lianze Kushughulika!

Hapo Mwishoni Umecopy Kauli Yetu Unasema "Toroka Uje" Nitoroke Nije Kwa Mkeo Kwani Umesafiri Ndugu?
 
Yaani huyu jamaa wamuangalie kwa umakini la sivyo ataendelea kufanya mambo ya ajabu sana na hivi naskia hashauliki.

Soon tutaskia karuka kutoka juu kwenye ndege.
 
Back
Top Bottom