yule ndo rais,sijui kwanini watu wanakuwa wazito kuelewa..
anyway hiyo style si ndo ya lowasa kipindi akiwa waziri mkuu,sasa kwa magufuli mnashangaa nini
Umeshasema alikua waziri mkuu! Huyo ni mgombea hana mamlaka kisheria.
yule ndo rais,sijui kwanini watu wanakuwa wazito kuelewa..
anyway hiyo style si ndo ya lowasa kipindi akiwa waziri mkuu,sasa kwa magufuli mnashangaa nini
Nimeshaifanyia kazi. Naomba na wewe sasa uchukue hatua
Hata raia wa kawaida unapoona kuna mtu anatishiwa maisha una haki ya kuliamuru jeshi la polisi kuwakamata wanaotaka kutoa uhai wa mtu mwingine, hiyo ndio maana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii wala sio tatizo. UKAWA mmeishiwa hoja tu.
Wenye na RPC wana hadhi sawa kwa Lowasa ? Wenye ni Mbunge wa CHADEMA ambayo Lowasa ni Mgombea Urais wake, RPC ni Mteuliwa wa Rais wa JMT ambapo Magufuli sio aliyemtuea.Haya Jamani Lowassa Kule Mwanza Alisemaje Mkamsifia?Alimtuma Nini Wenje Mkamwita Huyu Ndo Rais,huyu Anafaa?
Yeye waziri anayehusika na usalama wa raia?Magufuli ni dictator
Ni kutoa taarifa Mkuu, sio kuliamuru. Hebu jaribu kwenda pale Central utoe hiyo amri uone kitakachokupata.Hata raia wa kawaida unapoona kuna mtu anatishiwa maisha una haki ya kuliamuru jeshi la polisi kuwakamata wanaotaka kutoa uhai wa mtu mwingine, hiyo ndio maana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii wala sio tatizo. UKAWA mmeishiwa hoja tu.
Haya Jamani Lowassa Kule Mwanza Alisemaje Mkamsifia?Alimtuma Nini Wenje Mkamwita Huyu Ndo Rais,huyu Anafaa?
bavicha wako kwenye paniki mode,wanajaribu kutafuta kila sababu kuitumia kumsema rais magufuli
Umeshasema alikua waziri mkuu! Huyo ni mgombea hana mamlaka kisheria.
Umeshasema alikua waziri mkuu! Huyo ni mgombea hana mamlaka kisheria.
Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz
Hoja yangu magufuli anapimuwa jukwaan na iman anakuwa hana cheo na ankuwa ni mgombea tu na co wazir je anapataje nguvu ya kumiarimsha RPC??????? Je hii ndo ile iliyokuwa ikisemwa hurka ya madaraka na kufhihirisha hawez kuwa kiongoz maaana hatendi kwa kulingana na wakati
Wenye na RPC wana hadhi sawa kwa Lowasa ? Wenye ni Mbunge wa CHADEMA ambayo Lowasa ni Mgombea Urais wake, RPC ni Mteuliwa wa Rais wa JMT ambapo Magufuli sio aliyemtuea.
Wenje nin nani? wenje ni mbunge, mamlaka yake inaishia kwenye chama na mgombea anaweza kumwambia chochote. RPC ni level nyingine, hafungamani na chama na anapokea maelekezo toka kwa mamlaka sahihi. Tatizo la CCM kuwa chama dola inapelekea waamini kuwa mambo yote yanatakiwa kutumika kwa maslahi ya chama..na matokeo yake tumeyaona sana, sana, sana.
Mimi nawaambia kwa maamuzi ya kukurupuka kwa magufuli vita kesho t u akiingia madarakani nchi za jirani tukiwa na mgogoro kidogo tu kashaamuru majeshi kupigana bila kufikiria economic impact yake baadae huyu mtu hana mawazo ya mbali anakalia sifa tu na pushup. Viva kikwete viva lowasa diplomatic leaders