Magufuli kumnadi Chenge leo

Magufuli kumnadi Chenge leo

Mtaka yote

Senior Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
136
Reaction score
103
Leo Jp Magufuli atakua viwanja vya Halmashauri Bariadi jimboni kwa Andrew Chenge,jambo kubwa linasubiriwa ni namna atakavyomnadi Mtemi Chenge kw sababu kila anapopita JP anasema atapambana na wanaotajwa kua mafisadi
nitawaletea kila kitu hapa
 
Akusema Chenge ni Fisadi na hastahili kuwa mbunge basi CCM itashinda
 
Yap magufuli atasema na atazidi kusema kuwa anachukia mafisadi - hio ni juu yake Chenge kujipima kama yeye ni fisadi, Magufuli si Lowasa anayeshindwa kutamka neno fisadi tangu anaanza kampeni. Na usipoangalia Magufuli anaweza kumchana live Chenge.
 
Chonde chonde Magufuli usimnadi CHENGE, TIBAIJUKA.

Utapoteza ma elfu ya kura. Nami ntakuhama.
 
naingoja hio picha akimnyanyua mkono kwa ham sana.....tafadhali muwakilishi usiikose hio picha....bora usisikie anachosema alakin hio picha ipatikane.
 
Chenge ndiye mastermind wa ccm ktk ufisadi.Ccm kubadilika ni ndoto
 
aseme naleo atayashughulikia mafisadi na majizi ili watanzania tuishi kwa furaha na amani
 
Magufuli anafadhiliwa na mafisadi,ndio waliomchomekea ,na kuna msemo wa kialabu usemao -- anaekusaidia ndie bwana wako-- kwa maana unatakiwa umuheshimu hadi kufa kwako ,Magufuli ni lazima awahifadhi awalinde kama ulivyo msimamo wa chama chake kulindana,
 
Mtihani mgumu sana huu, ngoja tusubiri tuone
 
Mwanangu Chenge sio fisadi ,mbona hajapelekwa mahakamani?

Kama MNA ushahidi pelekeni mahakamani lasivyo shut up!!
 
Waandishi wa habari Attention please.
 
Ukawa oneni aibu japo kidogo,yaani mnamuita Chenge fisadi!!!ebu nyamazeni kwa hili
 
Back
Top Bottom