Pamoja na pongezi kwa Magufuli, Mkuu mimi hiyo naona ni nouma! Lini tunaweza kumsubiri waziri mzima kuja kushughulikia wakandarasi? Wasimamizi wako wapi?Mbona hatumwoni kuwafukuza kazi wale wote, kuanzia mameneja wa TANROAD wa mikoa hadi wazimamizi wao kutoka wizarani? Hii ni dalili kubwa ya mfumo mbovu wa uwajibikaji!