Magufuli kiboko! Wachina wanakarabati Shelui.

View attachment 74157

Sehemu za mtelemko wa Sekenke mchina ameanza kukarabati sehemu mbovu ya barabara kama alivyoamriwa na Magufuli miezi kadhaa iliyopita.

Kuna mhandisi mmoja kanijuza ya kuwa barabara hiyo inarudiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 15 ambazo nigharama za mkandarasi mwenyewe na ile ya Kilwa nasikia mkandarasi karudia kwa shilingi bilioni 21 ambazo ni ghrama zake pia.

Hii ni meseji tosha kwa makandarasi wengine wataodhubutu kujenga barabar chin ya kiwango itakula kwao. But isije kuwa tena Magufuli akitoka ndo mchezo umeisha tunarudi kuleeee tulikotoka.

Naona kama Waziri huyu anajua kujipanga na hasa huwabana sana vingozi wazembe!
 
Kwa tathmini barabara hii iemharibika sana, pamoja na pongezi lakini nina wasiwasi sana na huu ularabati wa vipande vipande kama ni sustainable na strategic
 
Nimepata hadithi ya hapo mahala kuwa katika ile process initwa cement stabilisation waswahili waliiba sana mifuko ya sementi.
hivyo basi na wachina wakaamua funika funika hivo hivo.
 
Pamoja na pongezi kwa Magufuli, Mkuu mimi hiyo naona ni nouma! Lini tunaweza kumsubiri waziri mzima kuja kushughulikia wakandarasi? Wasimamizi wako wapi?Mbona hatumwoni kuwafukuza kazi wale wote, kuanzia mameneja wa TANROAD wa mikoa hadi wazimamizi wao kutoka wizarani? Hii ni dalili kubwa ya mfumo mbovu wa uwajibikaji!
Kuna mhandisi mmoja kanijuza ya kuwa barabara hiyo inarudiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 15 ambazo nigharama za mkandarasi mwenyewe na ile ya Kilwa nasikia mkandarasi karudia kwa shilingi bilioni 21 ambazo ni ghrama zake pia.

Hii ni meseji tosha kwa makandarasi wengine wataodhubutu kujenga barabar chin ya kiwango itakula kwao. But isije kuwa tena Magufuli akitoka ndo mchezo umeisha tunarudi kuleeee tulikotoka.

Naona kama Waziri huyu anajua kujipanga na hasa huwabana sana vingozi wazembe!
 
Pamoja na pongezi kwa Magufuli, Mkuu mimi hiyo naona ni nouma! Lini tunaweza kumsubiri waziri mzima kuja kushughulikia wakandarasi? Wasimamizi wako wapi?Mbona hatumwoni kuwafukuza kazi wale wote, kuanzia mameneja wa TANROAD wa mikoa hadi wazimamizi wao kutoka wizarani? Hii ni dalili kubwa ya mfumo mbovu wa uwajibikaji!

Like Like
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom