Magufuli kazi anayo

Magufuli kazi anayo

Wekeni raisi anayetetemeka muone matokeo yake.mtu mgonjwa mnalazimisha kutiana hasara kuanza kumtibu kwa hela ya walipa kodi.chadema huu ni upuuzi.
 
Kikwete amshukuru Lowassa, maana alimsaidia sana 2005 sasa CCM watakiwa kumtangaza mgombea wao bila msaada wa mtu mwenye upeo na kujipanga.
 
Magufuli na ccm wana akili sana kuliko mnavyofikiria. Muda wa campaign rasmi bado unataka aanze?
 
Nimeikuta mahali UKIBISHA UNA MATATIZO Ndani ya CCM alipata wadhamini
870,000. Ndani ya CHADEMA amepata wadhamini
1,674,377 Jumla ya wadhamini (wanachama) ni
2,544,377. Hao ni wale wenye kadi za vyama vya
siasa waliojitokeza kumdhamini. CUF na NCCR mageuzi kwa ujumla wao
wana wanachama zaidi ya millioni 3. Ukiingeza hapo unapata kura zaidi ya
millioni 5 hivyo kuzidi idadi aliyoshinda
JK uchaguzi uliopita. Nimejifanya kama nimeyasahau makundi
kama 4u movement, team Lowassa, L4P,
Lowassa comred n.k ambao jumla yao ni
zaidi ya watu millioni 7. Hahahahaha, raha mtupu...... Wakijaribu kufunga kwa goli la mkono na
sisi atadaka mchezaji ambae sio golikipa. Safari ya matumain, inaendelea

Wamejiandikisha kupiga kura lakini? Ndio muhimu sana kwa kumpa ushindi mgombea anaependwa na wengi EL💪
 
Alipe wakandarasi kwanza wamefanya kazi hawalipwi leo mwaka mzima
 
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media
Viva UKAWA 2015 nchi yenu hii.
 
Akiongea maneno eti kaanza campaign akinyamaza shida hasikiki,mumuache apumue kwanza hana uchu wa madaraka.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni kati ya aliejiandaa kwa miaka 20 na yule aliechaguliwa kwa ajali.
 
mda bado ye hana mbwembwe.... anasubiri ukawa watangaze kikosi ndio naye ajue atumie formation gani...

siwezi kumbeza magufuri maana nguvu yake kisiasa ni kubwa ila wengi hawaitambui
 
Tatizo hawa wasaka tonge walishaahidiwa udc, ujaji, uwaziri na hata ajira. Wakaanza kufikiria jinsi watakavyofaidi chin i ya EL. Ndoto ikazima kama mshumaa baada ya Jembe JPM kuwatandika Dodoma. Eti amepata bila kutegemea. Angechukua fomu? Acheni ubabaishaji. Ndoto zenu zitazimika tena kama mshumaa kwenye upepo mkali. October si mbali.
 
Tena nashangaa sana watu walivyo wanafiki. Nyerere alisema wazi. Anayetoa hongo kuingia ikulu kwa udi na uvumba basi tumuogope kama ukoma. Leo baadhi yenu mnajidai kufumbia macho ufisadi kwa faida ya nani? Tumegundua ni kwa faida ya matumbo yenu. Mmenunuliwa kwa fulana, ahadi za vyeo na wengine bendera fuata upepo. Nchi hii haitaki fisadi anaekamia ikulu ili kujitajirisha yeye na rafiki zake. Tanzania amka. Mpe kura yako mpiganaji, jembe Magufuli.
 
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media

Ndio mnavyo jidanganya? Unaweza kumlinganisha na Lowasa, kiwewe mpaka mnauza chama kimetokana na nn?
 
mwaka huu ndio cdm wamefanya maamuzi ya hovyo kabisa.. limtu linang'ang'ania kwenda ikulu utadhani ndio eternal life... mamvi kajiaibisha sana mpaka watu wamemshtukia sasa... waliobaki kumshabikia ni wale wanaoendwashwa na hisia na mass power under peer pressure...
 
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media

Sasa si ndio kazi ya chama? Ulitaka apange mwenyewe? CCM kunataratibu na zitafuatwa , CCM hawakurupuki ...
 
Tena nashangaa sana watu walivyo wanafiki. Nyerere alisema wazi. Anayetoa hongo kuingia ikulu kwa udi na uvumba basi tumuogope kama ukoma. Leo baadhi yenu mnajidai kufumbia macho ufisadi kwa faida ya nani? Tumegundua ni kwa faida ya matumbo yenu. Mmenunuliwa kwa fulana, ahadi za vyeo na wengine bendera fuata upepo. Nchi hii haitaki fisadi anaekamia ikulu ili kujitajirisha yeye na rafiki zake. Tanzania amka. Mpe kura yako mpiganaji, jembe Magufuli.

Hizo kelele tumezizoea, mtaendelea nazo lakini lazima kuna siku mtatambua kuwa mnacho kisema kinasemekana kutokana na kuishiwa nguvu. Tusubiri mpambano wa October hapo ndipo tutakapojua mbivu na mbichi!
 
ImageUploadedByJamiiForums1438554885.544741.jpg utangoja sana mbona wagombea wengine walipokatwa Dodoma wamekimbilia kwenda kuwahonga watu majimboni wapigiwe kura za ubunge huwo sio umero wa madaraka msiongee kama mnafikilia kwa masabuli
 
Back
Top Bottom