Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Kachanganyikiwa huyo. Fisadi kanunua saccos ya ufipaNaona Kama umeandika pumba tu unataka aanze kampeni au unataka nini?
Kachanganyikiwa huyo. Fisadi kanunua saccos ya ufipaNaona Kama umeandika pumba tu unataka aanze kampeni au unataka nini?
Asiposhinda Magufuli, atashinda nani Lowassa, CHADEMA au UKAWA?wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media
Magufuri ndio nan?? hapa rais lowasa tu
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media
Mleta mada umeandika haya ukiwa umepakatwa? Yaani waziri mwandamizi unasema hajajiandaa? Kujiandaa kwa lipi? Mbona hao waliojiandaa wametoswa? Tanzania hatuhitaji mtu anayetaka madaraka kwa udi na uvumba. Tunahitaji mtu tutakayemtuma na akatumika
Rais wa barabara ha ha haaa.Asiposhinda Magufuli, atashinda nani Lowassa, CHADEMA au UKAWA?
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media
Yaani kwakweli makomeo ni wa kuhurumia sana hana lolote la maana zaidi ya sitawaangusha
Lizaboni huonagi aibu yaani na uzushi woote juu ya Mnyika kuhama chama bado upo hapa!!! Hamna ujinga zaidi ya mwanaume kuwa mbea na mzushi kama wewe!! Yaani nakufananisha na mashangingi wa mkekani kule tandale au yale majimama yanayoendeka kitchen party na baikoko.Mleta mada umeandika haya ukiwa umepakatwa? Yaani waziri mwandamizi unasema hajajiandaa? Kujiandaa kwa lipi? Mbona hao waliojiandaa wametoswa? Tanzania hatuhitaji mtu anayetaka madaraka kwa udi na uvumba. Tunahitaji mtu tutakayemtuma na akatumika