Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,344
- 1,531
Wanajamii amani iwe nanyi,
Hatimaye sasa kila mwenye akili timamu anaelewa nini kinaendelea Tanzania, Inchi hii ni ya 13 kwa ukubwa Africa,yenye kilometa za mraba 945,087, Yeye wakazi zaidi mil 51,820,000 kwa mujibu wa sense ya mwaka 2014. Inchi hii yenye pato la taifa (GDP-PPP) linalokaribia US dollar 150.663 Bil, Ni miongoni mwa inchi chache sana duniani zilizosalia kwa kuwa na “Amani na Utulivu”
Amani/utulivu vinachagizwa na umoja wetu na mshikamano vilivyoasisiwa na Mwl JK Nyerere baba wa Taifa hili kwa zaidi ya miaka 24, Mwl aliyafanya haya kwa “Mateso na Manyanyaso makubwa toka kwa Wazungu tonga Wingereza.
Ikumbukwe licha ya Tanzania kuwa na zaidi ya lugha 100 bado tumekuwa tukitumia lugha moja ya Kiswahili ambayo imekuwa ikituunganisha sote kama Taifa.
Itakumbukwa tangu kupata uhuru 9th Dec 1961 raisi aliyeko madarakani kwa sasa ni wa-awamu ya tano huku akitanguliwa na JK Nyerere,Alli Hassani Mwinyi, Benjamini Wilium Mkapa na Dk Jakaya Mrisho Kikwete huku wote hawa wakiicha Tanzania salama.
Raisi wa sasa DK John Joseph Pombe Magufuli anakabiliwa na changamoto lukuki pengine ni nyingi kuwahi kutokea Tangu kuwepo kwa Taifa hili masikini, Lakini tulivu kabisa duniani, Huku Taifa hili tangu uhuru bado linakabilwa na maadui walewale wa Umasikini,Ujinga Na Maradhi bila kuwapo kwa adui huyu wa sasa yaani “USALAMA WA RAIA”
Ifahamike kuwa Raisi wa sasa DK John Joseph Pombe Magufuli anakabiliwa na Upinzani toka ndani na inje ya mipaka ya Tanzania. Raisi anakabiliwa naupinzani toka ndani ya serikali yake, Mfano toka ndani ya Mahakama,Toka ndani ya Bunge, toka ndani ya Baraza la Mawaziri,Toka Vyama na mashirika mbalimbali ya kiraia pamoja na vyombo mbalimbali vya inje na ndani vimekuwa vikimpinga waziwazi raisi , Pangine ni kwa Misimamo yake dhabiti isiyoyumbishwa kirahisi kiasi cha kutangaza hadharani kuwa, Nina mnukuu “Mimi ni Rais ninayejiamini,sipangiwi nani akae wapi,nani afanye nini”
Rais huyu anaenda mbali nakujipambanua kuwa hata uraisi huu alionao sasa ni Juhudi zake binafsi nadhani ndio mana hata akina Nape waliojinasibu kuwa wao ni mabingwa wa “BAO LA MKONO” bila huruma wala kusita aliwatosa, kwaimani kuwa kazi hii ya Uraisi ni juhudi zake pekee pamoja na Neema Ndogondogo zilizopatikana kwa kusali Rosali aliyepewa pale Kanisa Katoliki Mjini Singida wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya chama cha Mapinduzi Mwaka 2015 (Itakumbukwa Raisi huyu alikwenda kushukuru pale)
Raisi wa sasa DK John Joseph Pombe Magufuli anakabiliwa na kibarua kimoja cha kuamua juu ya mambo mawili ni “AMA PAUL CHRISTIAN MAKONDA AMA TANZANIA NA WATANZANIA” wasikilizwe.
Yaani aamua kati ya Makonda na Watanzania nani Zaidi.
Kwa tunayemfahamu Mh Paul Christian Makonda ni miongoni mwa vijana wachache Tanzania wenye “ Msimamo dhabiti kabisa tena isiyoyumba kwa yale anayoyaamini hata kama yatamgharimu maisha yake yako tayari kuyasimamia ( Nadhani kwa hili hayupo mwenye tatizo na kijana huyu)
Kwa tunayemfahamu Mh Paul Christian Makonda ni miongoni mwa vijana wachache Tanzania wenye kuipenda inchi yao(Wazalendo) wa dhati kabisa hata kama angebaki peke yake angesimama na Tanzania na Mungu wake katika kuipigania inchi hii.
Kwa tunayemfahamu Mh Paul Christian Makonda ni miongoni mwa vijana wachache Tanzania wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa bashasha na mwili wenye kutafsiri yale anayoyaongea (Body language) kila asimamapo, kila aliyemtazama aliamini yeye ni kiongozi bila chembe ya shaka.
Raisi DK John Joseph Pombe Magufuli pamoja na mambo mazuri aliyonayofanya mkuu huyu wa Mkoa anapungukiwa sifa ya ‘ELIMU” Mtu huyu elimu yake inatia mashaka ndani ya jamii ya Watanzania, Ni muda sasa umepita tangu watu walipomwomba aoneshe “VYETI” vyake.
Itakumbukwa Gavana wa account ya Mombasa inchini Kenya aliombwa vyeti na wananchi na akapeleka kwa mamlaka zinazohusika lakini ni tofauti kwa Gavana huyu wa Dar-es saalam.
Kijana huyu mwenye ujasiri wa kiwango cha juu kabisa, Mwenye ushawishi wa aina yake, Mwenye uzoefu mkubwa wakuongea na Vyombo vya habari vya ndani na inje ya inchi, ( Cha kushangaza kwenye hili jambo amekuwa mpole sana, amekuwa akililia kwenye madhabahu mbalimbali bila hata kuonesha vyeti hivyo, jambo ambalo limekoleza hisia za Watanzania kuwa ni kweli hana vyeti)
Kijana huyu mwenye kujenga hoja kwa umaridadi mkubwa tangu akiwa katibu wa UVCCM ,Mkuu wa wilaya Kinondoni na baadae RC ameshindwa kabisa kutuambia vi-wapi vyeti vyake? Huku akijibu kuwa “UKIMYA NAO JIBU” kiingereza wanasema ( silence means” YES”-yaani hana cheti)
Watanzania lazima tutambue kuwa Mh Paul Christian Makonda ni mtu mzima na mtu mzima huwa anajibu ki-utu uzima , Kitendo cha Watanzania kuendealea kumkashifu kwenye mitandao ya kijamii, Kumwimba kwa kejeli ni dhahiri kabisa kunamuumiza sana sychologically mkuu huyu.
Mr Present the Man is tired amechoka huyu mtoto wa mwanamke mwoneeni huruma sasa “MPUMZISHE MAKONDA” for a good sake. Kisha mtafutie inchi nyingine uhamishoni akaishi yeye na familia yake otherwise they will kill him, I know we know jamaa anamaadui karibu kila mahala.
DK John Joseph Pombe Magufuli, Najua wewe ni Raisi unaejiamini sana ---- SAWA NA HONGERA DK John Joseph Pombe Magufuli, Najua wewe hupangiwi na mtu---SAWA ILA NAKUSHAURI TU.
MWONDOE MAKONDA HARAKA KABLA MAMBO HAJAHARIBIKA ZAIDI.
Angalia yanayoendelea Africa Kusini kisa nadhani hata wewe unakijua “Tafakari kwa Kina” Usipotoshwe eti hii ni vita ya madawa hapana. Hebu fikiria Nape anauza Madawa? Makamba anauza Madawa? Mwigulu anauza Madawa? Hiali Aeshi anauza madawa, Msukuma anauza Madawa, Bashe anauza Madawa,Malima anauza madawa? Think outside the box na chukua hatua haraka ili kutuliza hii inchi.
Msemakweli Mpenzi wa Mungu - Tanzania is the only country we have