Magufuli kazi anayo

Magufuli kazi anayo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media
 
Kwisha habari yake, hata kisaikolojia hakuandaliwa, ndio maana anaimba alinselema kama mjinga fulani hivi. Na ukawa nao wanavyojua hesabu za siasa, wameshampoteza. Namuonea huruma sana. Atakuwa amevunjika moyo sana kusikia anapambana na EL maana anajua nguvu yake.
 
Fupa lililomshinda fisi ataliowezaje ng'ombe!
Kwaheri MagufulI,
Kwaheri CCM
Kwaheri Utumwa, Karibu Uhuru!

Magufuli asiporudisha ushindi alikoutoa kwa wizi, ATAKUWA MGOMBEA URAIS WA KWANZA TOKA CCM ALIYENYEA KAMBI!!
KARIBU CHADEMA MAGUFULI!
 
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media

Mkuu fastjet hana cha kupoteza yaani huyu rais ni bora amalize mda wake tu
 
Ndio shida ya kutokua strategy, magufuli hakua na strategy wala network, ni ushindi wa ajali tu huo.
 
Yaani kwakweli makomeo ni wa kuhurumia sana hana lolote la maana zaidi ya sitawaangusha
 
kweli kabisa magufuli kazi anayo ya kutuongoza watanzania kwa kuwa tutampa ridhaa ya kutuongoza, ana kazi ya kupambana na mafisadi wote wa waliobaki ccm na waliokimbilia ukawa
 
Pole yake, kapakua ubwabwa katia maharagwe swaaafi kisha kaweka kabatini akatoka kwenda kununua ndizi, si unajua ndizi na ubwabwa vinavyonoga?, Ile anarudi tu anakuta sahani tupu, akalia kwa sauti kuu looooooooooooh!, na ndizi yake mkononi!, poleni sana maccm!!, tunahitaji ukombozi!!
 
wadau tatizo la kupata bahati usiyoitegemea limeanza kuonekana ...magufuli hakujiandaa kwa lolote tumezoea kila anaegombea urais anakua amejipanga ila kwa huyu mgombea ni shida ni kama mshikwa pua vile hana anachojua zaid ya kusubir jk aseme nini au apange nini au chama jk mwenyewe kutwa kusafir nje ya nchi ..kila mwana ccm yupo busy na kura za maoni ...hili ni tatizo kubwa litakalomkumba magufuli na kushindwa mchana kweupeee...hana kitengo chochote zaid ya kusubir chama kimpangie nini cha kufanya ndio mana imekua rahis kupotezwa hata kwenye media

Mbaya zaidi team hamasa wapo busy na issue za chadema na ukawa kila uchwao wamejivika cheo cha maofisa propoganda.
 
Umejuaje mkuu kua hajui lolote?,,, uteuzi ushaisha anaendelea na majukumu ya kiserikali media za nn tena wakati kampeni bado.wamewapisha ukawa nao wafanye mambo yao.media sio uchaguzi mkuu.kimya kina mshindo
 
Kachanganyikiwa huyu. Anatafuta namna ya kumpromote fisadi wake
 
Back
Top Bottom