Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Huko tuendako naona kuna kila dalili za nchi masikini nchi ombaomba kulazimishwa kutambua ndoa za jinsia moja kama kigezo cha kupatiwa misaada. Nchi za kiafrika hasa Tanzania ni wakati muafaka wa kutumia rasilimali zetu vizuri kwa kupunguza matumizi ya anasa na kuwekeza katika technologia ili kuongeza kasi ya maendeleo na kufuta kabisa bajeti tegemezi.
Tukifanya hivi tutakiepuka kikombe hiki lasivyo siku zinakuja tutakinywea tu tutake tusitake
Tukifanya hivi tutakiepuka kikombe hiki lasivyo siku zinakuja tutakinywea tu tutake tusitake