Magufuli kateua wabunge wangapi hadi sasa?

Magufuli kateua wabunge wangapi hadi sasa?

Madenge Origino

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,847
Reaction score
1,096
Wana jamii natumai hamjambo.

Huyu Dkt Magufuli ana nafasi kumi (10) pekee za kuteua wabunge. Je, kuna mwenye taarifa ni wabunge wangapi so far kawateua?

Mimi Nawajua:

1. Tulia Mwansasu -Naibu spika wa bunge
2. Prof. Makame Mabarawa - Waziri wa maji na umwagiliaji
3. Dkt. Abdalla Posi - Naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu

Kwa mwenye kujua zaidi naomba anijuze tafadhali.
 
Mh.rais mpaka sasa amewateua
1.TULIA A MWASASU
2.PROF.MAKAMA MBALAWA
3.POSSY ABDALLAH
4.BAROZI A.MAHIGA
Amebakiza nafac zake 6 tu ktk kipindi cha miaka 5.
 
Wataapishwa jmosi saa tatu asubuhi kuwa Mawaziri.Halafu bunge likianza Jan wataapishwa kuwa wabunge...niko sahihi au vipi
 
Back
Top Bottom