Magufuli kaingia kichakani

Magufuli kaingia kichakani

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Kila siku zinavyoendelea anazidi kudhoofika na harakati zake sio zile za mwanzo, amehemewa na sasa tunaona ndani ya kichaka wanatokeza mmoja mmoja kumnadi kaanza Mkapa mara kazuka Kikwete, mara kaibuka Makamba kuna mmoja yule kafupi anhaa Mwinyi karibu bado anapima upepo.

CCM oyee ,ha ha haa mmefulia !
 
Umeshamaliza kuandika au ni Live na hivyo tusubiri Updates!!?
 
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.
 
Kila siku zinavyoendelea anazidi kudhoofika na harakati zake sio zile za mwanzo ,amehemewa na sasa tunaona ndani ya kichaka wanatokeza mmoja mmoja kumnadi kaanza Mkapa mara kazuka Kikwete ,mara kaibuka Makamba kuna mmoja yule kafupi kana udini udini yule anhaa Mwinyi karibu bado anapima upepo.

CCm oyee ,ha ha haa mmefulia !

_MG_1570.jpg
 
Umeshamaliza kuandika au ni Live na hivyo tusubiri Updates!!?

Yaani ni Shida tupu! Hawa wapiga kura wa mwaka huu natamani tuwape mtihani wa maarifa kabla ya kuwapa karatasi ya kura. Uelewa wao uko chini mno kupita hata ile katuni ya ZERO!
 
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.

Kwa hiyo mpenzi wa yanga akivaa jezi pia mnamuhesabu?bao la mkono mwisho chooni
 
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.
Kujitekenya na kucheka ndio huku. wanasombwa hao.
 
Kwani jezi ya yanga as F .C ni sare ya CCM hacha ushamba kijana wa Mungu!!
 
Magufuli mwaka huu anaabudu hata visivyoabudika eti vimsaidie kwenda Ikulu!. Lol!. Laana gani hii huyu baba anabebesha vizazi vyake?
 
Magufuli yupo imara kama simba na anajiandaa kuapishwa baada ya kushinda kwa kishindo. Hizi cosmetics za kisiasa haziwezi kumnyima Dr/PhD usingizi.
 
Tatizo huna kipimo cha unayoyaandika ,hivi aliesema kama Magufuli hakushinda atakuwa hapati usingizi ni nani? Kwa nini hapati usingizi ? Pana siri gani hapa ya kupata usingizi na kutopata usingizi ?

Naona mnanyongeka ile mbaya ,ndio ukubwa huo !
 
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.

Mimi si mwanaCCM ila uko right kabisa.EL akipata hata 25% ashukuru Mungu.Upepo wake tena wa kutengeneza kwa fedha hauzidi ule wa SLAA 2010 Amma MREMA 95!
 
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.

Nani kakudangaya? kura haziesabiwi na uniform. Mbona wengi tunavaa uniform za shule na za kazini lakini moyoni na akilini unatafuta kazi au shule mbadala? Wengi kijani wanavaa kulazimishwa kwenye box la kura tuko Nao UKAWA
 
Tutaandika sana kwenye mitandao ya kijamii ila Magufuli Raisi wa awamu ya Tano, kura million 15 za watanzania ana uhakika wa kupata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom