MGOMBEA nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anazijua shida zote za Watanzania hivyo, atasimama imara katika kuzitatua na kuweka wazi kwamba, kwa muda wa miaka 20 aliyokaa Serikalini hakuwahi kushindwa.
Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.
Shida zingine zilishatatuliwa na Raisi kikwete na Maraisi wengine waliopita, yeye atakachokifanya ni kuendeleza tuu., yaani " Sitawaangusha hawa maraisi waliopita" Alisema Dr. J.P. Magufuri.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya mapokezi yaliyofanyika kwa kurudisha fomu ya urais, huku akibainisha kuwa, atashirikiana na mgombea mwenza wake kuhakikisha wanatatua shida za Watanzania.
Hapo kabla alisema anazijua shida za wananchi na yupo tayari kuzitatua. Jana kasema atatumia usafiri wa gari ili ajue kero za wananchi. Teh!
Na pale jangwani alisema anashangaa miaka yote hamna kiwanda cha kusindika samaki, wakati yeye alishawahi kuwa waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi. Siasa bwana!
kwani waziri wa uvuvi kazi yake ni kujenga viwanda vya samaki?
Usiwe mjinga wewe kwa hiyo kazi ya waziri wa uvuvi ni kuhesabu samaki?!kwani waziri wa uvuvi kazi yake ni kujenga viwanda vya samaki?
HILI NALO SWALI? Kweli hata Mkapa akitututkana anajua kwa nini. Sasa kazi ya waziri wa ujenzi ni nini kama sio kujenga?kwani waziri wa uvuvi kazi yake ni kujenga viwanda vya samaki?
ukiwa katika Helkopta utazijuaje km za Barabara za Tabnzania au kukutana na wapiga kura
Raha ya wapiga kura ni kusabahiana naa
ukiwa katika Helkopta utazijuaje km za Barabara za Tabnzania au kukutana na wapiga kura
Raha ya wapiga kura ni kusabahiana naa
kwani waziri wa uvuvi kazi yake ni kujenga viwanda vya samaki?
Mbona Lowassa Alisema Nae Anazijua Shida Na Kero Za Watz Lakini Sasa Hvi Anazurura Na Kujidai Anataka Kujua Kero Na Matatizo Ya Watz?Huyu Alikua Wazir Wa Mazingira Na Hakuwah Kupanda Daladala Wala Kwenda Kwa Mama Ntilie Kuangalia Mazingira Yao,leo Imekuaje?

alibanwa na mfumo