Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

Bintiwangara

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
551
Reaction score
287
c4-1-640x343.jpg

MGOMBEA nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anazijua shida zote za Watanzania hivyo, atasimama imara katika kuzitatua na kuweka wazi kwamba, kwa muda wa miaka 20 aliyokaa Serikalini hakuwahi kushindwa.

Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.

Shida zingine zilishatatuliwa na Raisi kikwete na Maraisi wengine waliopita, yeye atakachokifanya ni

Kuendeleza tuu., yaani " Sitawaangusha hawa maraisi waliopita" Alisema Dr. J.P. Magufuri.

Dk. Magufuli aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya mapokezi yaliyofanyika kwa kurudisha fomu ya urais, huku akibainisha kuwa, atashirikiana na mgombea mwenza wake kuhakikisha wanatatua shida za Watanzania.
 
Ha ha ha ha ha ha ha😂😂😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
View attachment 278944

Very cheap thought!....Shame on him
 
Magufuli mwenyew ni shida kwa watz.Ajiondoe tuu
 
Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.

Hili la laptop naona linajirudia tena kumbe ni kweli hata ile mara ya kwanza alitamka...

Nape Nnauye ile mara ya kwanza alifanya kukanusha...hahaha
 
Hakuna mwaka ccm wameweka mgombea bogus kama mwaka huu
 
Kugawa laptop atakuwa emeongeza kiwango cha elimu? Ni bora angefikiria kuwapeleka short course kwanza walimu wengine hawakujifunxa computer
 
Back
Top Bottom