Magufuli is the real deal

alisema lini? nadhani aliyasema haya zamani kwa sasa heheheyaaa
 
Nimejiuliza huyu PLO anam support Raila?
so ilikuwa kwa kuwa Raila na Magufuli ni marafiki basi ajiunge tu kumsapoti?

Yupo kwa Baba uchaguzi huu?

Ila jamaa ni bonge la mkurupukaji aisee.
 
Yupo kwa Baba uchaguzi huu?

Ila jamaa ni bonge la mkurupukaji aisee.

Mimi niliona rekodi yake ilikuwa mbovu mno alipokuwa anaongoza taasisi ya kushtaki wala rushwa

umaarufu wake ni kutoa maneno magumu tu ya English...
hana lolote alilowahi ku achieve likaonekana....

Na siasa za Kenya ni tribal zaidi......unamuunga mkono yeyote yule mradi ni wa kwenu
au anaungwa mkono na wa kwenu...
 
Sorry sir i beg to differ with you. Mwalimu Nyerere was ruling with an assistance of the constitution. He never violated the constitution sir
 
PLO hamwelewi baba jesca vizuri
 
all in all ni kwamba Tanzania sio uchochoro tena,rudi kwenye mstari ishi maisha sahihi ndugu.
 

Whatever....
I respect this guy opinions.
 
Magu ,the man of hatre ,revenge ,undemocratic ,the man with no development agenda apart from acting Hollywood war movies etc ongezeeni English yangu ya Bashite imegomea hapo[emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hata mimi ingawa sijui kidhungu nimekuelewa vyema kabisa .
hasa hapo kwenye war movies.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
utawala huu !kazi tunayo.
 
Nilichokuja kugundua Magufuli ni zaidi ya msanii. Wengi watamjua baadae kwa sasa bado ila wachache wameshamshtukia
Afadhali yake yeye afya yake ilikuwa na nuru wakati wa kampeni na mpaka kesho. Kulinganisha na yule ambaye hotuba zake za kampeni zilikuwa zinachukua dakika tano tu, halafu huyooo anaelekea kwenye mlango ulioandikwa kwa maandishi makubwa WANAUME.
 

I had tremondous respect for PLO until one day I saw this clip on Yutube. He is no different from ordinary people who are quick to cheer up leaders (including Magufuli) for trivial political stuff. He ought to be ashamed now for what Magufuli does to our country! PLO needs to know that the so-called "scholars" like him should avoid flattery at all cost. Whatever they say should be guided by time and a careful study of a person/leader or country. So far, Magufuli is nothing, but a tragedy for Tanzania.
 
Moyo zungusha damu si vingine. Acha ubongo ufanye kazi hizo nyingine.
 
A blast from a recent past......
For sure blood is thicker than water...mm, on second thoughts, may be am wrong, may be blood is only thicker than milk... I mean thicker than a mother's milk!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…