Magufuli hatambuliki E.A.C?

Magufuli hatambuliki E.A.C?

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Mpo?

Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ. Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maguufuli kwa ushindi wake.

Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?
 
Ukimya wao kuanashiria kutoridhika na mwenendo wa uchaguzi.Kuhudhuria kwao kuapishwa Magufuli hivi leo ni staili ya basi tuu tutimize wajibu jirani huyu. Kufutwa uchaguzi Zanzibar kumechukiza wengi.
 
Rafiki wa Odinga ameingia madarakani.
2017 atapigania rafiki yake pia aingie madarakani.
 
😗😀😀😀😧😵😵😵😵👏👏💪💪💪👌👌👌
 
Je Dr Shein ambaye anaendelea kuwa rais wa Zanzibar, atahudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli?
 
nyumbu si mshaambiwa watakuja marais zaidi ya nane wakiwemo hao wa Afrika mashariki.
 
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.

Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ.
Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maghufuli kwa ushindi wake.

Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Sababu ni moja tu! Kilichofanyika Tanzania haikuwa wizi wa kura tu..... Hapana! Ilikuwa Robbery With Violence (Wizi wa kimabavu)! Kama kweli Makifuli alishinda kwa kura kulikuwa na haja gani serikali kuyavamia vituo vya UKAWA vya kujumlisha kura? Kulikuwa na haja gani ya kuivamia ile shirika isiyo kiserikali (NGO) ambayo ilikuwa ikifuatilia mchakato wote was upigaji kura?

Tanzania imekua ikijionyesha kama nchi inayoongoza kwa kukuza demokrasia na amani Afrika Mashariki tofauti na Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda. Katika uchaguzi wa Oct 25 serikali ya Kikwete walionyesha Ulimwengu wote their true colours. Kama viongozi wa upinzani walivyosema huu ulikuwa ubakaji wa demokrasia.

Iweje unatangazwa mshindi hakuna wa kushangilia?
Believe me the legitimacy of Magufuli presidency is in question the world over. Am eagerly waiting to see who'll attend the inauguration ceremony! Binafsi nasema hayajaisha...
 
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.

Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ.
Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maghufuli kwa ushindi wake.

Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Kwenye taarifa ya hbr ITV jana usiku, ziitangazwa salam toka nchi ya rwanda na falme moja ya kiarabu
 
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.

Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ.
Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maghufuli kwa ushindi wake.

Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Kapongezwa na Kagame!
 
Je Dr Shein ambaye anaendelea kuwa rais wa Zanzibar, atahudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli?
Huyo Shein Urais wake kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ulishakoma tarehe 2/11/2015.
Iwapo kama atataka kuja uwanjani hapo hivi leo, na bila kuvunja Katiba, basi itabidi afike hapo kwa wadhifa wa Rais mstaafu kama ambavyo watakavyokuwa hapo uwanjani akina Amani Abeid Karume na Salmin Amour.
 
we ni mbuzi kwl ata vyombo vya habari hufatilii madem wngne bhn!
 
jamaa wa coalition of willing walimtaka lowasa kwenye hima empire wanamuogopa magufuli, kagame kajitoa kimasomaso kumpongeza
 
Mpo?

Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ. Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maguufuli kwa ushindi wake.

Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Si usubiri uone kama atakuja mtu siku ya kuapishwa kwa jamaa...

Mbona watanzania tunasahau haraka hivi? Tumeshasahau vituko vya 'Coalition of the Willing/Coalition of WarLords (CoW)....Hapa issue sio Magufuli...issue ni Tanzania
 
Mbona watanzania tunasahau haraka hivi? Tumeshasahau vituko vya 'Coalition of the Willing/Coalition of WarLords (CoW)....Hapa issue sio pMagufuli...issue ni Tanzania

Everyone knows utawala wa CCM ndio kizingiti nambari moja ukuwaji wa EAC.
 
Back
Top Bottom