maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Swala madini lazima asipokuwa mkali basi tutakula hasara mbaya sana mfano wake ni huu.
Dereva anaendesha gari kwenya mteremko akina mama 2 wenye watoto wanatisha barabara. je dereva atafanyaje awaue au awakwepe aangushe gari yenye watu 60?
Mfano huu akina mama ni kampuni za madini na gari ni watanzania zaidi ya milion 47 sasa amewachokoza na nia yake ni njema sana je ana ubavu kama wa mugabe?
Maana asipowafukuza na kukataa wakienda kwenye ile mahakama yao wanashinda kesi na kudaiwa nchi atakuwa ameiangusha gari afadhali kuachana nao akatafutwa atakayeweza kufuata sheria mpya itakayitungwa.
Nje ya hapo itakuwa kama iptl na esrcow na tutaimizwa sana mana isue itakuwa ni sheria na wale wanafuata sheria tu na ndo tulipifanya kosa la mauti yetu