ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Ni mtu wa dili, amejaa kiburi , ni anayejiona na mbaya ni mtu anayeamini kwamba bila yeye huo uraisi usingeshinda.
Makamba aliiba ela nyingi za kampeni zilizobidi apeleke majimboni kusaidia kampeni matokeo yake yeye alichagua majimbo machache aliyoyaona yana shida akapeleka fedha na mengi aliyoyaona hayana shida fedha akaficha.
Kwanza awaeleze watanzania kwa nini mara kwa mara anatuhumiwa yeye tu, watanzania wanaamini kufanya kazi na magufuri hutakiwi kuwa na tuhuma, kaisari alimwacha mke wake si kwa sababu amezini nje za ndoa yake ila kwa sababu mke wa mfalme hatakiwi kuwa na tuhuma