Magufuli: First EA President with a doctoral degree

He has at least seven publications to his name.

Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.
 
Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.

Si kasoma chemistry... Kile kichwa kinameza sana na ndio maana anamemory kali sana
 
Present continuous tense ndio hiyo nliyotumia hapo.
Ukitumia natamani pekee sentensi inakuwa na maana tofauti. Labda utangulize neno 'huwa'

Sentensi na "grammar" baki nazo wewe, mimi nimesahihisha neno kwa neno.
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language you are writing

You are stu..d. It seems that you have jelous feeling like a woman if you are not a woman. Kick your own a..s
 
namsubiria siku "anatema yai" nithibitishe au kumpoka udokta wake,
msiwe na hofu wana ccm urais wake namuachia libuva oooh sorry lumbuva. (typing error))
 
Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.

Kweli wewe ni nyani. Una mbaya sana. Doctor wa Falsafa kwenye Kemia na ana BSc Chemistry and Mathematics then unasema kichwani hamna kitu. Wewe sijui fani yako uliyosomea lakini Nina uhakika humfikii Dr John Pombe Magufuli
 
Hivi Rais mteule alisoma vyuo vilivyoko nchi gani?

Nauliza kwa sababu , elimu ya juu Tz inasomeshwa kwa lugha ipi?

Je mkulu alisoma China, Cuba, Yugoslavia au DDR ambako lugha mama ya bbc haitumiki kama lugha ya kufundishia katika elimu ya juu?

Mimi nashauri mkulu apatiwe crush course/intensive course ya hiyo lugha. Wasomi wetu waliopitia vyuo vikuu hapa Tz ni lazima walitumia madesa yaliyoandikwa kwa kamlugha na kufanya discussions kwa lugha hiyo hiyo.

Au unataka hiyo kazi ya kuwa mkalimani wa mkulu?
 
Kuwa mzalendo, kwani anakuja kuongoza waingereza au waswahli?
Ulofa huo
 
namsubiria siku "anatema yai" nithibitishe au kumpoka udokta wake,
msiwe na hofu wana ccm urais wake namuachia libuva oooh sorry lumbuva. (typing error))

Kwani doctrate yake ya ki-english....yawezakuwa ya kiswahili
 
Kuwa mzalendo, kwani anakuja kuongoza waingereza au waswahli?
Ulofa huo
Ingawaje yeye amewezeshwa na Tume, mimi nitakuwa mzalendo siku akifanya hapakazi tu na kuhakikisha Tanzania inapata Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.

CCM wanaogopa nini kukataa Katiba ya wananchi na kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi?

Miaka 54 +5 kama kweli wanaleta maisha bora kwa kila mdanganyika ,CCM haihitaji msaada wa Tume au Vyombo vyoa dola kushinda Chaguzi.

CNN Amanpour anakuja kufanya interview na mkulu.

Unaelewa wazi ni nani ataingiza nchi hii kwenye giza kama usanii na maigizo ya uchaguzi mkuu yataendelea kama mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…