Magufuli bring our country back,Tuishi kama tulivyozoea!!

Aaaaa tufanyeni mpango benk za nje zieze kutukopesha mwananchi mmoja mmoja kwa riba nafuu ni hatari tunakoelekea ni mkito wa ajabu
 
Watanzania wapenda nchi tuunganeni kupigania nchi yetu iendeshwe Kwa maslahi ya wananchi.

Iendeshwe kwa mjibu wa sheria sio matamko.

Tumeshagundua Rais na wasadizi wake nchi yetu wanaiendesha kwa uongo uongo kwa kujivika kofia ya uzalendo mifano ni mingi sana sina haja ya kuitaja.

Tupiganie nchi yetu iludishwe kwa watendaji na sio wanasiasa uchwara kuwaelekeza wasomi na watendaji wa serikali.

Tupiganie nchi yetu bandari irudishe mizigo kama zamani sio kukauka wanasiasa wanakuja na ngonjera eti ni hali ya uchumi wa dunia kuyumba.

Tupiganie nchi yetu kodi iwe rafiki kwa wawekezaji wote wawe wazawa au wageni Sio kupoteza kodi ya watu milioni 5 alafu unakusanya kodi kwa watu elfu 10 ambao kati yao kila mwezi unapoteza kodi kwa baadhi yao kufirisika.

Kwanini wajifunze kutawala ndani ya uongozi?

Lazima wananchi wote tutambue kuwa serikali haiwezi kuanguka ikikosa kodi sisi ndio tutaanguka na tu karibu kuanguka.

Magufuli na mawaziri wake hata mapato ya TRA yakishuka kufikia bilioni 1 wataichukua na kujaza mafuta kwenye magari yao ya kifahari na maisha kuendelea kwao je mwanachi anayefirisika sasa atapata wapi hata mikopo wakati hali ya bank nayo ni tete?.

Viongozi wengi wa kiafrika hawana cha kupoteza wengi wao hawana uchungu na nchi zao wana uchungu na maslahi yao ya kisiasa hata mapato yakishuka kuwa Milioni 500 kwa mwezi watazigawana na kuendelea kuwa ofisini mwao..

Mfano Mdogo ni kwa Mugabe ambaye aliwavuruga wawekezaji hasa wa mashamba hali ni tete na bado anaendelea kusafiri na msafara wa watu zaidi ya 100 na kutumia pesa ya walipa kodi bila huruma huku wananchi wa Zimbabwe wengi wakiishi kama wakimbizi nje ya nchi ,kuna wazimbabwe Milioni 4 wanaishi nje ya Zimbabwe kwa sasa.

Je, na sisi tunataka kwenda uko majibu ni hapana magufuli bring our country back sisi tulio wengi tunataka kuendelea kuishi kama tulivyozoea. Bora utuibie huku unatupa kidogo kidogo kuliko kutuibia huku hatupati hata chenji.
Pole sana. magumashi ndio hamna tena! Eti tulivyozoea. Ningekuona wa maana ungeandika tuishi kwa kufuata sheria na taratibu na fufanya kazi kwa bidii. kama 'tulivyozoea"?!?!?!?! Vipi? magumashi?!?!?!
 
Pole sana. magumashi ndio hamna tena! Eti tulivyozoea. Ningekuona wa maana ungeandika tuishi kwa kufuata sheria na taratibu na fufanya kazi kwa bidii. kama 'tulivyozoea"?!?!?!?! Vipi? magumashi?!?!?!
Hizo sheria anatakiwa kuzifuata kwanza yeye sio kuendesha nchi kama anavyoendesha familia yake na rafiki zake.

Akiacha kuvunja katiba nitamuelewa.....
 
Hizo sheria anatakiwa kuzifuata kwanza yeye sio kuendesha nchi kama anavyoendesha familia yake na rafiki zake.

Akiacha kuvunja katiba nitamuelewa.....
Amevunja sheriagani. kwa hiyo yeye akivunja sheria wewe unataka maihsa kama ya wakati wa Kikwete. maisha ya kufanya kazi kwa mazoea. Wake up!
 
Amevunja sheriagani. kwa hiyo yeye akivunja sheria wewe unataka maihsa kama ya wakati wa Kikwete. maisha ya kufanya kazi kwa mazoea. Wake up!
Acha ufala we mama huyu huyu anayekojolea katiba kila siku.....

Na kupitisha sheria tata za habari kama alivyofanya kwa kuhonga wabunge...

Shame on you kujitoa ufahamu....
 
Eti atuache Watanzania tuishi Kama tulivyo zoea ,,

Nani kakwambia watanzania wote tunapenda kupiga DILI?

FANYA KAZI ,, HAKUNA DILI SASA HV. BANDARI NI FULL CAMERA KILA KONA.
 
Eti atuache Watanzania tuishi Kama tulivyo zoea ,,

Nani kakwambia watanzania wote tunapenda kupiga DILI?

FANYA KAZI ,, HAKUNA DILI SASA HV. BANDARI NI FULL CAMERA KILA KONA.

Tupeni kazi tufanye tunazitaka hizo kazi. Sio mnaimba tu humu fanyeni kazi ipi iko wapi. Kinyume Na ndiyo mana tunatupa jiwe sio dongo
 
Eti atuache Watanzania tuishi Kama tulivyo zoea ,,

Nani kakwambia watanzania wote tunapenda kupiga DILI?

FANYA KAZI ,, HAKUNA DILI SASA HV. BANDARI NI FULL CAMERA KILA KONA.
Kama nakuona hivi unaiba pesa kimya kimya nyie mnajifanya wasamalia ndio majizi kweli kweli kwa kutumia Mungu na kwenda na msafara wa magari 35 ukiwa mkuu mkoa
 
4e74289e6fd76bebe0a9ceff3267df32.jpg
Kaza tena kidogo tutaheshimiana tu!
 
mmekalia majungu uzushi uongo na uzandiki, acheni hizooo, fanyeni kazi

Kama vile unaishi nje ya Tanzania mkuu.... Usione aibu kupaza sauti wewe kubali tu kua hali ishakua tete..

Asiefanya kazi Nani? Wengine tuna viwanda Japo ni vidogo na tunajitahd kuzalisha lakini hakuna Wateja tena.. Sasa hapo sifanyi kazi?

Think big
 
Back
Top Bottom