Magufuli bado hajanishawishi

Ushawishiwe? Kwani kuna muda wa kutongozana tena? Ukitaka ushawishi....nenda ....huku ni kazi tu
 
anachokisema jamaa ni kweli,,,magufuli anaigiza tu mambo bado ni mabaya kabisa,,,,,lingine usijibu lugha na maandishi jibu content
 
Yani hii post ni sawa na kuchukua 100x0=100
 
Kwa hiyo sasa unataka nini...kazi kulalamika tu, be the change you want to see!!! EBOOOOOO:eek2::eek2::eek2::eek2:
 
Naungana nawe mleta mada sie watanzania wa hali ya chini tunaumia sana
 

Wewe ni me au ke ukishanijibu tujadili,,,,,,,kama ni me huhitaji kushawishiwa kama ke atakushawishi tu.
 
weka namba zako za simu akupigie akushawish....!!
 

Mtafute Lowassa atakushawishi tu, we muulize DJ Mbowe.
 
Nyie mnanini msoona??? Tangu aanze mishe zake kipi kimeleta auheini kwa mwananchi wa kawaida??
 
Maneno yako yangekuwa na maana may be after 3 years.ndo kwanza mzeeya ana 3 weeks .so keep yours words baada ya miaka 2 at least ndo upost..
 
atakapo punguza payee na.mfumuko wa bei ndipo hapo ntaanza kushawishika saiv naona maigizo tu
 
huku nilipo mchele kilo alfu 3 sasa haya maisha gani
 

watu wengne hivi akili zenu zinafanya kazi? Unatoa utitiri wote huo wa shida wakat mtu mwenyew anasiku 26 tangu aingie madarakan.

Anaweza kuyatimiza yote hayo kwa siku 26? Mbona mnatia aibu nyinyi watu?.

Na suala la maisha mazuri hilo ni juhudi zako ww mwenyew. Ww ukikalisha hizo kwenye benchi halafu unasubir maisha mazuri bas endelea kusubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…