SILISABANGOO
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 425
- 53
hii imedhihirisha wazi jana kwenye mkutano pale Kawe, Magufuli alivyofunga mitaa yote ya kawe barabara na viunga vyake....
Casual labourer at Lumumbahii imedhihirisha wazi jana kwenye mkutano pale Kawe, Magufuli alivyofunga mitaa yote ya kawe barabara na viunga vyake....
Magufuli ndiye Rais wetu, huyo moran akachunge ng'ombe.
Kweli MAgufuli ni chaguo la MUngu na hana mpinzani,tulio wengi tutamchagua na kumuunga mkono ili hatimaye awe rais wa awamu ya 5,ambaye atatupeleka nchi ya asali na maziwa