Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Wana Kagera msituangushe
Hakika Kagera haijawaangusha
mqdefault_live.jpg
 
Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.

Msikilize:

Daah nimemiss speech za Rais wetu wa awamu ya 5
 
hayo mengine aliyoyataja, achana na katerero, hayo mengine sijui yana maana gani kwa kihaya manake nimeona nshomile wamecheka kuliko hata katerero ilivyotajwa. hata hivyo wanajua kinachoendelea kwani hotel zote bukoba zina waterproof bedroom. ndio sehemu pekee tz utakuta kitu kama icho.
“Waterproof bedrooms”?Au ulimaanisha “waterproof mattresses”?
 
Back
Top Bottom