MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,233
as of now, you guys should bridge on rifts of corruption, ethnicity and tribalism, which still run so deep before even thinking of having such splendid structures as kigamboni suspension bridge.President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao. Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680 km constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya
Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi
Naona JPM huwa anasoma JamiiForums sana na labda ni senior member wa JF , ila daraja urefu ni mita 680 siyo 680KM
Like polepolePia mkumbushe kuwa halifiki "Ireland".
Hahahaha hata Mimi niliona nikashangaaPia mkumbushe kuwa halifiki "Ireland".
Hehehe!! Mleta mada unabonyeza bonyeza hata bila kujua unaandika nini, hiyo elimu yenu ya Danganyika ni majanga.
Halafu ingekua bora sana kwa rais wenu kufanya kazi bila kuhangaika na vijembe, ameanza kudhihirisha udhaifu sana kwenye kuongea bila kutafakari, anasema lolote na chochote wakati wowote.
Nasoma jinsi mnavyomlalamikia kule kwa jukwa la siasa, hivyo kwa yeye kukurupuka kuhusu jokes za Wakenya na kuzichukulia serious kama hotuba ya taifa lenu, inabidi tumuelewe.
Naona ipo siku mtamkumbuka Kikwete kwa majonzi.
.... ila daraja urefu ni mita 680 siyo 680KM
Nyang'au! This is nonsense, tell us the source of this info.President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao. Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680 km constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya
Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi
jamaa mwenyewe unafikiri ni mkenya basi kaamua tu kuchonganisha watu.This is really laughable, so a whole president had to respond to some non entity who posted online that the bridge is in Kenya?
Hii ni upumbavu wa juu sana. I really hope it is not true.
Ahahahahahaaaaaaa. Hapa tu ndipo huwa nakukubali.Pia mkumbushe kuwa halifiki "Ireland".
Chanzo cha habari?????President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao.
Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680M constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya
Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi