Magufuli awaomba wanawake wa Tanzania wazae kwa wingi ili uchumi ukue

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
13,813
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
13,813 2,000
Atolea mfano wa Nigeria, China na India ambako raia wa huko ni wengi kupindukia na kwamba hiyo ndio sababu wa chumi zao kukua.
Swali fikirishi, hivi umaskini wa Tanzania unasababishwa na uchache wa wananchi? Mbona Tanzania imeizidi Kenya kwa idadi ya watu lakini uchumi wa Kenya umezidi wa Tanzania kwa pengo kubwa ambalo huongezeka kila mwaka.
Mimi nashauri Watanzania muache uvivu, mlime hayo mapori na kuwa bread basket ukanda wote huu, sidhani kama kufyatua watoto zaidi ndio kutabadilisha chochote, mkizingatia leo hii tunahangaika na omba omba wenu waliojaa huku.
-----------------------

'Set your ovaries free’: Tanzania’s president urges women to have more children

John Magufuli claims higher population would 'build the economy' but critics warn it would worsen inequality and poverty

Tanzania’s president has urged his country’s women to “set your ovaries free” and have more children in a bid to boost the economy.John Magufuli said a higher population could turn the East African nation into a regional powerhouse, but critics warned it would instead worsen inequality and poverty.
Since taking office in 2015, the president has presided over a campaign of industrialisation that has helped buoy economic growth. But Mr Magufuli claimed a higher birth rate would stimulate faster progress.

When you have a big population you build the economy. That’s why China’s economy is so huge,” he said, citing India and Nigeria as other examples of countries that gained from a demographic dividend.Speaking in his home town of Chato on Tuesday, he added: “I know that those who like to block ovaries will complain about my remarks. Set your ovaries free, let them block theirs.”
 
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
512
Points
500
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
512 500
Lots of times i've wondered if Magufuli ana akili timamu .Many of his directives and pronouncements often reflect worse than yule mtu bila elimu.
 
C

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
462
Points
500
C

cordoba

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2017
462 500
Arguments mingi za magufuli ni vile kama za uneducated, kwa sasa watanzania tupo karibia 60million lakin uchumi mdogo hauendani na idadi iliyopo
 
K

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
483
Points
1,000
K

kirk git

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2018
483 1,000
Magufuli is clever. In the long run, it's the people that counts.

Look at Europe and west, the economy and dynamism is dead because people do not reproduce.

Europeans became great because their population was high. In fact the population of Europe is higher than that of Africa whereas Africa has a larger land.

Look at India and China. They are billions while their land masses are smaller than Africa.

But everyone is complaining about the population of Africa!!
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,547
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,547 2,000
The population of Europe is not more than Africa. Europe doesn't have 1.2 billion people. Population kubwa ni upuzi kama hamna resources au kama hawajasoma au kama hawana kazi. Wacheni kumention China when you know China has been able to feed its people and has provided jobs to most of them because of industrialization. India has been able to feed its people too and is doing a good job in providing jobs for them. What about Africa? We can't even feed our people let alone educate them or create jobs for them. So tuwache kujicompare na China, hatuko ligi moja. China is rich because of industrialization and not because of population.
 
Because we have had poor tribal leaders for long. Let new leadership try new ideas.

Africa cannot continue to be run remotely by rich self interested NGO and muzungus like Bill gates who sell abortion, family planning, and depopulation to African leaders.
 
much know

much know

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
2,562
Points
2,000
much know

much know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
2,562 2,000
The population of Europe is not more than Africa. Europe doesn't have 1.2 billion people. Population kubwa ni upuzi kama hamna resources au kama hawajasoma au kama hawana kazi. Wacheni kumention China when you know China has been able to feed its people and has provided jobs to most of them because of industrialization. India has been able to feed its people too and is doing a good job in providing jobs for them. What about Africa? We can't even feed our people let alone educate them or create jobs for them. So tuwache kujicompare na China, hatuko ligi moja. China is rich because of industrialization and not because of population.
Ushasikia tz hakuna resources.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
13,813
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
13,813 2,000
Magufuli is clever. In the long run, it's the people that counts.

Look at Europe and west, the economy and dynamism is dead because people do not reproduce.

Europeans became great because their population was high. In fact the population of Europe is higher than that of Africa whereas Africa has a larger land.

Look at India and China. They are billions while their land masses are smaller than Africa.

But everyone is complaining about the population of Africa!!
Get your priorities right, build infrastructures, factories and industries first before populating the nation to the brim. A country where you're importing every basic commodity, hata sindano mnaagiza yaani hamfai kujazana humo. Mngekua na viwanda basi walaji wa ndani wakiwa wengi inakua nafuu.
China wako wengi lakini wao wamehakikisha uzalishaji wa kila kitu ni ndani ya nchi, sera yao ni China first kwa kila kitu.

Lakini hii sera yenu ya kuzaliana, mtajazana ilhali ajira hamna, chakula kipungue, maradhi yenyewe bado changamoto, Dengue imetatiza taifa lote, madawa hayapo ya kutosha, elimu changamoto mwalimu mmoja darasani anafundisha nyomi ya wanafunzi, madawati hayapo, per capita ya polisi bado mbaya, polisi mmoja anachunga raia wengi sana, usalama utakua ovyoo yaani rais wenu kwa hili kabugi, mpeni ushauri ipasavyo acheni kumpotosha.

Tatizo MaCCM huwa mumeshikiliwa akili, mkiambiwa mnatiririka bila kuhoji.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
17,063
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
17,063 2,000
Kwani Kenya ni matajiri kushinda Tanzania?
 
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,094
Points
2,000
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,094 2,000
The population of Europe is not more than Africa. Europe doesn't have 1.2 billion people.
Unajua kitu kinaitwa pupulation density?
Population kubwa ni upuzi kama hamna resources au kama hawajasoma au kama hawana kazi. Wacheni kumention China when you know China has been able to feed its people and has provided jobs to most of them because of industrialization.
Kajieleimishe kwanza badala ya kunyweshwa tuu chang'aa na ubepari uchwara, Ukulima wa China ni wa ukulima mdogo mdogo kama wa Tanzania. Sisi hatuna shida ya chakula wala kuzalisha hivyo achana na mawazo ya njaa kama kenya.
China is rich because of industrialization and not because of population.
Robots don't pay tax, people do.
 
henry kilenga

henry kilenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
1,057
Points
2,000
henry kilenga

henry kilenga

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
1,057 2,000
Sasa kama watu wana nguvu ya kuzaa acha wazae tu huwezi kuzuia uzazi ... wengi wanaotoa hizo sheria utakuta hawana hoja nyingine mpya zaidi ya umasikini .. watu wazae na kufanya kazi kwa bidii

Hivi mkizaa na kuganda kazi kwa bidii hasara itatokea wapi

Mfano mbona huko USA wanakohimiza africa tusizaane hovyo wao unakua nyumba moja imekaa watoto
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
5,013
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
5,013 2,000
Atolea mfano wa Nigeria, China na India ambako raia wa huko ni wengi kupindukia na kwamba hiyo ndio sababu wa chumi zao kukua.
Swali fikirishi, hivi umaskini wa Tanzania unasababishwa na uchache wa wananchi? Mbona Tanzania imeizidi Kenya kwa idadi ya watu lakini uchumi wa Kenya umezidi wa Tanzania kwa pengo kubwa ambalo huongezeka kila mwaka.
Mimi nashauri Watanzania muache uvivu, mlime hayo mapori na kuwa bread basket ukanda wote huu, sidhani kama kufyatua watoto zaidi ndio kutabadilisha chochote, mkizingatia leo hii tunahangaika na omba omba wenu waliojaa huku.
-----------------------

'Set your ovaries free’: Tanzania’s president urges women to have more children

John Magufuli claims higher population would 'build the economy' but critics warn it would worsen inequality and poverty

Tanzania’s president has urged his country’s women to “set your ovaries free” and have more children in a bid to boost the economy.John Magufuli said a higher population could turn the East African nation into a regional powerhouse, but critics warned it would instead worsen inequality and poverty.
Since taking office in 2015, the president has presided over a campaign of industrialisation that has helped buoy economic growth. But Mr Magufuli claimed a higher birth rate would stimulate faster progress.

When you have a big population you build the economy. That’s why China’s economy is so huge,” he said, citing India and Nigeria as other examples of countries that gained from a demographic dividend.

tumsamehe bure tu

Speaking in his home town of Chato on Tuesday, he added: “I know that those who like to block ovaries will complain about my remarks. Set your ovaries free, let them block theirs.”
tumsamehe bure, hajui, ni sawa na waziri anayetaka wanyama wapewe elimu ili waishi vizuri na watu.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
36,272
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
36,272 2,000
Tuzae na watoto wajukuu kwa kusema za mwenyezi Mungu.
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top