Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
MGOMBEA urais wa CCM leo ametua katika wilaya ya TARIME na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa UBUNGE kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la TARIME VIJIJINI analogombea ndugu CHRISTOPHER RYOBA KANGOYE hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa hauziki...hauziki.... kitendo kilichosababisha magufuli kuuliza wananchi kuwa amewafanyeje jamani miaka yote hammusamehi

Duru zinaonesha
Mkakati wa matajiri wengi wasiopendeka kuwa nyuma ya ndugu kangoye
kama ndugu gachuma,na zakaria ni sababu zake kuchukiwa amesema mwanatarime mmoja mwita marwa wa nyamongo
pia kuwepo na mpango wa kupora bonde la mto mara nayo ni sababu nyingine ya kuwakera wananchi
tatu ni ubinafsi wake kutoka eneo alilozaliwa
nne kuaminika kama mhusika wa uchochezi vita za koo
tano ni kukoswa msimamo katika kuwatetea wananchi tofauti na kijana wa CHADEMA NDG john heche anayeonekana kuwa mstari wa mbele kuwapambania wananchi

TARIME MJINI
Mgombea wa CCM ndg KEMBAKI naye amezomewa vibaya na kusababisha magufuli kushindwa kumnadi
hali hii imesababisha magufuli kutumia muda mchache sana na kuondoka na hata kukoswa mkutano wa kuvutia

Repota wangu yuko eneo la tukio akileta habari
 
Ivi kule kwa Tibaijuka ni wapi? Huyu Mama alipitaje kura za maoni. Sijui atanadiwa vp na Jembe,.
 
ccm inajaza watu mikoa ya malofa tu. kuna sehemu wanajuwa haziingiliki kwa kanga na tshet
 
hapa kazi tu mtasema mengi sana ila ikulu ni Magufuli tu
 
Hao wakikuchukia wamekuchukia jumla, ndio maana Chambiri alikimbia huko.
 
hapa kazi tu mtasema mengi sana ila ikulu ni Magufuli tu
Hapa kazi tu, unaajira.? Au kula kulala unasubiri hela za bure za maccm.!? Mnasema hapa kazi tu wakati viwanda mmeua ajira kubwa ni kuokota makopo..!
 
Hapa kazi tu, unaajira.? Au kula kulala unasubiri hela za bure za maccm.!? Mnasema hapa kazi tu wakati viwanda mmeua ajira kubwa ni kuokota makopo..!

we doctor gani mwenye upeo mdogo wa kufikiri?
 
Back
Top Bottom