Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

we doctor gani mwenye upeo mdogo wa kufikiri?

Hata kuku anajitahidi kufikiri kuliko wewe, mana inaonekana hujui umetoka wapi,uko wapi,unaenda wapi.mnasikitisha sana,nitakuona unaakili kama unanufaika na chama,ingawaje hata manufaa unayopata ni laana tupu.
 
jipe moyo tu huyajui maisha yangu #hapa kazi tu
 
we doctor gani mwenye upeo mdogo wa kufikiri?
Jibu swali hilo, hapa kazi tu, wewe unakazi au ni umeeka mitego ya kula bure ccm, na kujidai hapa kazi tu.
 
MGOMBEA urais wa CCM leo ametua katika wilaya ya TARIME na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa UBUNGE kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la TARIME VIJIJINI analogombea ndugu CHRISTOPHER RYOBA KANGOYE hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa hauziki...hauziki.... kitendo kilichosababisha magufuli kuuliza wananchi kuwa amewafanyeje jamani miaka yote hammusamehi

Duru zinaonesha
Mkakati wa matajiri wengi wasiopendeka kuwa nyuma ya ndugu kangoye
kama ndugu gachuma,na zakaria ni sababu zake kuchukiwa amesema mwanatarime mmoja mwita marwa wa nyamongo
pia kuwepo na mpango wa kupora bonde la mto mara nayo ni sababu nyingine ya kuwakera wananchi
tatu ni ubinafsi wake kutoka eneo alilozaliwa
nne kuaminika kama mhusika wa uchochezi vita za koo
tano ni kukoswa msimamo katika kuwatetea wananchi tofauti na kijana wa CHADEMA NDG john heche anayeonekana kuwa mstari wa mbele kuwapambania wananchi

TARIME MJINI
Mgombea wa CCM ndg KEMBAKI naye amezomewa vibaya na kusababisha magufuli kushindwa kumnadi
hali hii imesababisha magufuli kutumia muda mchache sana na kuondoka na hata kukoswa mkutano wa kuvutia

Repota wangu yuko eneo la tukio akileta habari

Ha ha ha.
Yametokea yaliyompata Makaidi wa NLD
 
Jibu swali hilo, hapa kazi tu, wewe unakazi au ni umeeka mitego ya kula bure ccm, na kujidai hapa kazi tu.

unadhani mimi ni kula kulala? hapa kazi tu mwaka huu mtaisoma namba
 
Hapa ni kazi tuuuuuuuuuu. Ngoja ajira kwa Lowassa. Dr Magufuli ndio Rais wetu. Bavicha mnauza kisichouzika,kimeoza kinanuka
 
Ivi kule kwa Tibaijuka ni wapi? Huyu Mama alipitaje kura za maoni. Sijui atanadiwa vp na Jembe,.

Mzee wa kazi tu, a.k.a jembe, a.k.a catapila atamnadi hivyo hivyo
 
mgombea urais wa ccm leo ametua katika wilaya ya tarime na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa ubunge kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la tarime vijijini analogombea ndugu christopher ryoba kangoye hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa hauziki...hauziki.... Kitendo kilichosababisha magufuli kuuliza wananchi kuwa amewafanyeje jamani miaka yote hammusamehi

duru zinaonesha
mkakati wa matajiri wengi wasiopendeka kuwa nyuma ya ndugu kangoye
kama ndugu gachuma,na zakaria ni sababu zake kuchukiwa amesema mwanatarime mmoja mwita marwa wa nyamongo
pia kuwepo na mpango wa kupora bonde la mto mara nayo ni sababu nyingine ya kuwakera wananchi
tatu ni ubinafsi wake kutoka eneo alilozaliwa
nne kuaminika kama mhusika wa uchochezi vita za koo
tano ni kukoswa msimamo katika kuwatetea wananchi tofauti na kijana wa chadema ndg john heche anayeonekana kuwa mstari wa mbele kuwapambania wananchi

tarime mjini
mgombea wa ccm ndg kembaki naye amezomewa vibaya na kusababisha magufuli kushindwa kumnadi
hali hii imesababisha magufuli kutumia muda mchache sana na kuondoka na hata kukoswa mkutano wa kuvutia

repota wangu yuko eneo la tukio akileta habari

dogo acha ukuda subiri sindano ziwaingie vzr; kuna hatari mkoa wa mara majimbo yote yakachukuliwa na ccm
 
Back
Top Bottom