Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

Ukawa mnajidanganya lakini siwezi kuwalaumu mumzoea mambo yaku cram, kipindi kilikua live startv mnadanganywa na nyie mna amini? Kazi kweli kweli endeleeni kujipa moyo kwasababu mtapata stress baada ya Magufuli kuapishwa.

kilikua live tuwaambie wewe kwanini hakuwanadi?au unafikiri star tv itaonyesha wakizomea wakati nao wameshanunuliwa?
 
Katika kampeni
zangu huwa simsemi mtu, kazi yangu ni kuomba.
Madiwani mtapochaguliwa muwatumikie
watanzania wote. Akija wa CHADEMA, CUF, ACT,
CCM na hata wasio na vyama muwasikilize.
JP Magufuli 2015 Musoma

Mgombea hajui katiba yetu hairuhusu mgombea binafsi..
 
Back
Top Bottom