Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,387
- 13,714
ccm inakubalika Tanga, Bagamoyo, Chalinze na Lindi.... Maeneo mengine wanalazimisha tu!
unadhani mimi ni kula kulala? hapa kazi tu mwaka huu mtaisoma namba
namba gn shufwa,witiri au tasa
ccm inakubalika Tanga, Bagamoyo, Chalinze na Lindi.... Maeneo mengine wanalazimisha tu!
dogo acha ukuda subiri sindano ziwaingie vzr; kuna hatari mkoa wa mara majimbo yote yakachukuliwa na ccm
Nimeshangaa Magufuli akiondoka uwanjani saa 17:15 hrs tofauti na tabia yake ya kupiliza muda.Kumbe amekutana na nguvu ya Umma!
ccm inakubalika Tanga, Bagamoyo, Chalinze na Lindi.... Maeneo mengine wanalazimisha tu!