Wewe shost ni mtu mmoja muongo sana. Hii sio mara ya kwanza unakurupuka na huo uongo wako. Ndio maana una uso ka shetani.kama alihutubia basi ni video ya jimbo jingine lakini sio hili la misungwi
Usiwe muongo ndugu nlikuwepo mkitanoni Dr. JPM amehutubia tena sana tuuu! Kwa kweli hata kama hatuipendi ccm lakini tunamkubali JPM .Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.
Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia.
Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba fid Q alizomewa pia na kundi la watu nyuma.
Sababu nilisikia kwa mbali kwani nilikuwa nyuma kwamba sijui anawahi kwenda wapi hukoo
Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.