real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Rais John Pombe Magufuli amekuja na utaratibu wake wa ku relax na wageni ikulu baada ya shughuli za kisiasa zilizomleta ambapo yeye na mgeni wake hupigiana ngoma, hayo yameshuhudiwa jana baada ya waziri mkuu wa India kuja nchini ambapo rais Magufuli baada maongezi kilichofanyika ikulu ilikuwa ni kupigiana ngoma