Magufuli 'apigwa' Bilioni 100

Magufuli 'apigwa' Bilioni 100

Bado mm kumpiga billion 16 teh teh teh teh kweli watanzania hawapendi ujinga....
 
Kuna mmoja kapiga mabilion huko sigara afe na watu wa Shisha..ndo maana anakua mkali kama mbogo
 
Jamani anaemjua nyoka maeneo ya makonde plz aniambie who the guy is na anajishughulisha na nin
 
Ukisoma maoni humu utajua ujuha wa baadhi. Wanashangilia kuibiwa "pesa zao wenyewe! " Elimu ya uraia inahitajika
Mkuu napata wasiwasi wa uraia au uzalendo wa wachangiaji.Labda kafunga au kakata mirija yao.
 
Kapigwa 100 kakopa 300 na zitalipwa na sisi mbulula kuanzia 2026 yeye atakuwa amestaaf huku akila upepo wa chato.
Mpaka afike huko kooote kwani anamkataba na the Almighty?
 
Back
Top Bottom