Tuna tatizo kubwa sana sisi. Mtu tayari kuombea mabaya ili ndoto zako za kisiasa zitimie!Apigwe tu maana hakuna namna, na mimi nasema apigwe tu
Wewe unaongea kama hatakayeteseka ni Magufuli na sio ndugu zako!Magufuli, kula uliwe.
Hata Wakijibu Utasema Ni Mahesabu Ya Kubumba Ili Kudanganya Uma - Akili Za BinadamuHivi watu wa TRA si mpo huku jamani? hebu jibuni mwezi wa 11 mlikusanya ngapi!
Watakwambia sangapi ukweli wakati kila kitu ni siasaHivi watu wa TRA si mpo huku jamani? hebu jibuni mwezi wa 11 mlikusanya ngapi!
Si mpambana na ufisadiAsipigwe yy nani
Kajitolea kufanya nini mkuu na mimi nijitolee kama yeyeNdugu zangu
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu
Hivi vita dhidi ya ufisadi nk ni vyetu sote kwa faida yetu wote.
Sasa tunaposema Ndugu Rais kapigwa nk sii ni ujuha uliopitiliza ? Hasara ni ya nani ? Mtu kajitolea watu wanaleta ujuha. Inakera sana hii
Ndugu zangu, tubadilike. Hii nchi ni yetu, faida/hasara ni yetu.
Respect !!!