Magufuli anapendwa sana!

Magufuli anapendwa sana!

Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Membe ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wenu fake, kwanini basi asiruhusiwe kuchukua fomu akajipime na Rais ili KUNOGESHA mchakato?
 
Umesshau lissu alikuwa anawatetea Wazungu watuibie madini kwa kuwa alikuwa analipwa na Wazungu
Kwani mkuu hao wazungu walipataje hiyo migodi ,walivamia au walipewa na serikali ya chama pendwa?
Ni serikali ya chama gani waliongia nayo mkataba kwa mara kwanza hadi nchi kuambulia patupu?
Tuache kujitoa ufahamu.
 
Awezi kukjibu...amini nakwambia...ataleta porojo...
 
Ndio hivyo Magufuli alikuwa anasaini mikataba upya kurekebisha mapungufu majizi kina kina lissu wakawa wanatetea Wazungu
Kwani mkuu hao wazungu walipataje hiyo migodi ,walivamia au walipewa na serikali ya chama pendwa?
Ni serikali ya chama gani waliongia nayo mkataba kwa mara kwanza hadi nchi kuambulia patupu?
Tuache kujitoa ufahamu.
 
Ndio hivyo Magufuli alikuwa anasaini mikataba upya kurekebisha mapungufu majizi kina kina lissu wakawa wanatetea Wazungu
Lakini CCM haiwezi kukwepa upuuzi na hujuma ya kuuza madini yetu kwa maslahi binafsi.Tena karibu migodi yote.Je kwa miaka zaidi ya 20 tuliopata hasara ya kujitakia ni Raisi gani au waziri mkuu gani wamefunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi?Je nani atalipa hasara hiyo?
Kumbuka tuliibiwa mchana kweupe,tukiwa nchi huru,chini ya maraisi wa serikali ya CCM.
 
Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Jibu Hoja punguani wewe, anapendwa mbona anaishi Kama nyoka?
 
Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.

Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?

halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.

Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
mm nawaza mkuu akifariki ghafla chama kimetawanyika vipande vipande
 
Back
Top Bottom