Magufuli anapendwa sana!

Magufuli anapendwa sana!

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,558
Reaction score
57,857
Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.

Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?

halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.

Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
 
Upo tayafi liwalo na liwe huku unatumia JINA BANDIA JF Unaleta hadithi ya Mange Kimambi cha kuhimiza kuandamana huku yeye yupo USA
 
Tafiti zinasemaje juu ya mvuto wa Baba mwenye nyumba kwa wananchi? viongozi wenzake? wanafunzi? au mwaka huu hazijafanyika
 
Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.

Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?

halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.

Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Uchaguzi Mkuu akileta figisu zake za serikali za mtaa tutagawana majengo a serikali.
 
tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Duh...!.
P
 
Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.

Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?

halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.

Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Mbona unasema apambane na Lissu, inamaana mmeshabwaga mwenyekiti?? Au kachukua fomu kuzuga tu ila mgombea yupo tayari?
 
Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.

Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?

halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.

Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Inategemea dikteta ataamkaje leo.
 
Back
Top Bottom