MAGUFULI anajua vyanzo vya mapato ya CCM

MAGUFULI anajua vyanzo vya mapato ya CCM

Ccm nguvu yake kubwa iko kwa mafisadi na ndo maana hawajiungi na vyama vya upinzani maana wanajua ccm itawafuatilia bora wakae ccm kwenye ulinzi wao
 
Kitendo cha kuwakana wafanyabiashara mbele ya hadhira kuwa hawakuchangia na hawakudai hata senti na anaekudai asimame lilikuwa kosa kubwa ili hali kila mtu anajua kuwa hao watu wanamchango kufanikisha kampeni mpaka kuchaguliwa urais,kama mwenyewe ulivyojinasibisha kuwa huna kitu,hivi unafikiri mwenyekiti na genge lake wana furaha nawe haiwezekani sababu sura yako haikuonekana kwenye kukopa wala kuomba michango umekiachia chama mzigo wa madeni,sasa hawa malipo yao ilikuwa kuwachiwa wafanye watakavyo.Angalia sasa wanaficha sukari ccm wanakukomoa sababu hao ndio wenye hivyo viwanda na hisa,mwenyekiti anajua lakini ana hasira amekuchunia yupo upande wa rafiki zake,kwani mtoto wa mkulima aliposema mafisadi wakifungwa nchi itayumba alimaanisha hao ndio wenye flow meter,sukari na bandari kavu.na ndio vyanzo vya mapato ya chama sio viwanja wala kulaza magari wala shule,jua umeingilia mapato ya chama.
Angalizo huwa wanamchezo wa kubadilisha ubao wa matangazo mwenzio aliambiwa madawa ya kulevya akapambana nayo kweli kumbe maliasili na bandari na taasisi za umma wanamaliza,wewe wamekuwekea wa sukari sasa.jivike mabomu ulipuke nao hakuna jinsi.
Itachukua muda sana watu kumuelewa Magufuli. Alishasema na kurudia rudia kwamba sasa ni KAZI TU! Hakuna cha ccm wala chadema wala cuf nccr au nani yule. Focus ni wananchi wanyonge.
 
Itachukua muda sana watu kumuelewa Magufuli. Alishasema na kurudia rudia kwamba sasa ni KAZI TU! Hakuna cha ccm wala chadema wala cuf nccr au nani yule. Focus ni wananchi wanyonge.
Ni kweli focus ni wanyonge ndio sisi ,je hawa matajiri wa sukari wanafanya nini sasa
 
KaaaZi kweli kweli. Kuendesha nchi ni kazi nzito sana
sio sana kama usipokua na sauti inayomaanisha kile unachokisema pamoja na sura utapata shida,,,,wakum buke kauli ya nyerere,,,ukiweka ubia utapata shida maana huwez fanya maamuzi
 
sio sana kama usipokua na sauti inayomaanisha kile unachokisema pamoja na sura utapata shida,,,,wakum buke kauli ya nyerere,,,ukiweka ubia utapata shida maana huwez fanya maamuzi
Chama kinaweka ubia na wafanyabiashara kwa kupokea michango yao,leo unawabana wakati unajua hela waliochangia chama haijarudi kumbuka hakuna kitu cha bure,na unajinasibu kuwa hukupokea mchango wa mfanyabiashara yeyote huku ukijua wao walikichangia chama na wala sio wewe ila chama ndicho kilikudhamini kampeni zako ngoma hii bado ni mbichi sana.
 
Mi najua vyama vya Upinzania vyanzo vya pesa zao ni vyama rafiki waisani

Mfano chadema kule Ujerumani na kwingine kote upewa ruzuku ya kuendeshea chama chao kwa hasa kutoa elimu kwa umma....

Pia wanapata Ruzuku kama walivyo CUF na Ccm

Sasa maswali yangu ikiwa ccm ndio chama kikongwe hapa nchini na wanawezaje kupata pesa ya kuwalipa kutokea wenyeviti wa vijiji?

Kuhonga wabunge wapitishe mswada hatari ?

Kuwalipia wanafunzi chuo kikuu?.

Hizo pesa zinatoka wapi ?

Ccm wanafanya biashara gani?

Wamewekeza wapi?

Na kama wamewekeza uwa wanalipa kodi kiasi gani?
 
Back
Top Bottom