kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,327
- 21,416
Kitendo cha kuwakana wafanyabiashara mbele ya hadhira kuwa hawakuchangia na hawakudai hata senti na anaekudai asimame lilikuwa kosa kubwa ili hali kila mtu anajua kuwa hao watu wanamchango kufanikisha kampeni mpaka kuchaguliwa urais,kama mwenyewe ulivyojinasibisha kuwa huna kitu,hivi unafikiri mwenyekiti na genge lake wana furaha nawe haiwezekani sababu sura yako haikuonekana kwenye kukopa wala kuomba michango umekiachia chama mzigo wa madeni,sasa hawa malipo yao ilikuwa kuwachiwa wafanye watakavyo.
Angalia sasa wanaficha sukari ccm wanakukomoa sababu hao ndio wenye hivyo viwanda na hisa,mwenyekiti anajua lakini ana hasira amekuchunia yupo upande wa rafiki zake,kwani mtoto wa mkulima aliposema mafisadi wakifungwa nchi itayumba alimaanisha hao ndio wenye flow meter,sukari na bandari kavu. Na ndio vyanzo vya mapato ya chama sio viwanja wala kulaza magari wala shule,jua umeingilia mapato ya chama.
Angalizo huwa wanamchezo wa kubadilisha ubao wa matangazo mwenzio aliambiwa madawa ya kulevya akapambana nayo kweli kumbe maliasili na bandari na taasisi za umma wanamaliza,wewe wamekuwekea wa sukari sasa.Jivike mabomu ulipuke nao hakuna jinsi.